Exclusive Pictures: SeaFront- Imeuzwa nayo!

Exclusive Pictures: SeaFront- Imeuzwa nayo!

ASANTE MKUU, habari na picha hizi zinatia huzuni sana kuona jinsi nchi wanaigawana wanavyotaka - ni kama sisi waumini tunavyoamia kuwa "watagawana vipande vya kanzu yangu ili maandiko yatimie"

Na kwa CCM wanagawana tanzania ili dhana nzima ya MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA YATIMIE kabla ya October, 2010.

Cha msingi nachojifunza hapa ni kuwa hawa jamaa hawana huruma hata kidogo, tunasali kila leo, tunawaombea dua waache mambo haya kumbe ndiyo kwanza wanatuona mazuzu, hivi watoto wetu watapata kweli sehemu ya kupumzikia?

aaaa - huu nafikiri ni zaidi ya ukatili....
 
Hii habari inasikitisha sana. But hawa ndiyo viongozi wetu, hawaambiliki. Wao na matumbo yao. Tunakoelekea si kuzuri kabisa.
 
Pamoja na hayo hatuwezi kuwaachia CCM wazidi kuneemeka kwa kuiibia nchi..ni heri waendelee kuwa madarakani kihalali lakini sio kwa njia z panya kama hivi wanavyofanya..shame on them..yaani wanuza kila kitu..mwisho sasa tutauzwa hata na sisi wenyewe..

Sasa kama prime areas Tanzania zimeshauzwa kwa bei kichaa Watanzania wamebaki na nini?tusipoamka sasa na kuleta mageuzi ya maana tutakuwa tumechelewa kweli kweli uchaguzi ujao ukiisha pita.

Hatutakuwa na nafasi ya kuwawajibisha watendaji wabovu waliopita kwani viongozi wamejiwekea mitandao ya kulindana kwa gharama yoyote ile itakayolipwa na mtazania wa kawaida wewe na mimi na watoto wetu.Inasikitisha.

Wakati uliokubalika ni sasa, swali la kujiuliza ni je watanzania wako tayari kuleta mabadiliko ya maana kwa kizazi hiki na vingi vijavyo?je tuko tayari kulipa gharama?
 
Tufanye nini? Tuendelee kulalamika na kusikitika kwa machungu? Tuwazuie vipi sasa hivi kabla ya uchaguzi?
 
Tufanye nini? Tuendelee kulalamika na kusikitika kwa machungu? Tuwazuie vipi sasa hivi kabla ya uchaguzi?

Unfortunately, wanatujua mno. Tutaendelea kulia na wao wataendelea kujenga. Wakimaliza tutaenda kufanyia harusi zetu humo humo!

Amandla......
 
Jamani waacheni wajenge Nationalization Part 2 is lurking! Tutawanyang'anya mashamba na majengo yote hayo...hiyo ndo solution...
 
Tufanye nini? Tuendelee kulalamika na kusikitika kwa machungu? Tuwazuie vipi sasa hivi kabla ya uchaguzi?

Ndugu yangu Mwkjj...wahusika wameshakua sugu kwa kuuziana maeneo nyeti kwa kisigizio cha uwekezaji. baada ya kumaliza kuuziana karibia maeneo yote (picha number 1 na 7) sasa wanagawana hata vipande vya bahari. Kweli nyerere hakukosea aliposema ukishaanza kula nyama ya mtu huwezi kuacha.Malalamiko tu hayatoshi, suala ni kufikiria namna ya kuzuia.
 
Jamani waacheni wajenge Nationalization Part 2 is lurking! Tutawanyang'anya mashamba na majengo yote hayo...hiyo ndo solution...

Mtanyang'anya nini? Magofu? maana wakishamaliza kuyajenga pataanza kumeguka. Kaangalie Sea Cliff na Police officers mess uone yaliyowapata. Hapa si suala la rasilimali tu bali ni uharibifu wa mazingira wa hali ya juu. wala si suala la beach maana hamna beach pale. Ile sehemu haifai kujenga, period. Mimi ningependa wapaache kama palivyo.

Amandla.....
 
Mimi ningependa ipandwe Palm Trees mipya na miti mingine itayoota kwenye hilo arthi.
 
Well.. tunaelekea mwaka wa Uamuzi na wenye uwezo ndio wakati wao tena kuonesha nguvu yao; kwa mara nyingine tena utajiri na urithi wa watoto wetu umepigwa mnada na wenye uwezo tayari wameshagawiwa. Ninafahamu kuwa kuweka habari hizi hakuwezi kubadilisha fikra za watawala wetu lakini kwa masikitiko makubwa tunawataarifu kuwa eneo lililokuwa wazi la Masaki Beach kama wengi wanavyojua nayo imeshapimwa viwanja na wenye kugawiwa wanajulikana!!

Maskini nchi yangu! Siku si nyingi tutauza hadi kingo za pale Magogoni na kuwaachia watoto wetu matamanio tu ya urithi wao!

Tunazungumzia hilo eneo upande wa kulia wa picha.

wameona hayo majengo yako mbali sana.. wanataka mengine karibu kabisa na Tsunami!!

Unaweza ukasema tunazusha tu na lengo letu ni kupandikiza chuki dhidi ya serikali ya CCM!

Unaweza kupingana vipi na ushahidi huu?

Au huu hapa? Miaka 33 ya CCM haya ndiyo matunda yenyewe jamani? Nyerere angelia leo.

Unafikiri kuna kitu wanasubiri? well.. wachekwe?

Hivi hakuna mtu anayeweza kusema hapana katika hii serikali au ndio wote wana bei!?

Well asante ka"nzi" kwa kazi nzuri.. I owe you more this time. Malizieni ile kazi.. hatuna muda mwingi.. !!

Neno kubwa sana hilo mwanakijiji unafanya watu tutoke machozi!

Tufanye nini? Tuendelee kulalamika na kusikitika kwa machungu? Tuwazuie vipi sasa hivi kabla ya uchaguzi?

I think for me personally dawa ni kuwafinya hawa wapinzani na ndio strategy yangu!
 
Tuanzishe pressure group yenye nguvu katika ballot box ... wenyewe watatia adabu.
 
Ballot box ni njia mojawapo .. lakini kwanza ni pressure group sasa hivi.. kwa mfano.. wabongo wakaenda kuandamana hadi pale na mabango yao na kusema "NO SALE"! ...
 
Ballot box ni njia mojawapo .. lakini kwanza ni pressure group sasa hivi.. kwa mfano.. wabongo wakaenda kuandamana hadi pale na mabango yao na kusema "NO SALE"! ...
Kuandamana kupinga utekelezaji wa 'election manifesto'?
Kibali cha polisi hakitatoka...na magari ya maji ya upupu yatangoja waandamanaji pale sea view.
 
Ballot box ni njia mojawapo .. lakini kwanza ni pressure group sasa hivi.. kwa mfano.. wabongo wakaenda kuandamana hadi pale na mabango yao na kusema "NO SALE"! ...

Itapendeza zaidi nawe ungekuwa mmoja wapo mingoni mwa hao wananchi watakaoshika hayo mabongo kwenye eneo hilo!
 
Kununua ardhi baharini hivyo kwa wakati huu wa rising sea levels ni ushamba tu.

I like the way you are thinking. Waacheni tu wakae karibu na bahari, ili siku Tsunami likipigia wateketee wote, kizazi kipya kichukue uongozi. Ndipo mambo yatabadilika!
 
Permit zote na EIA zimeshakamilishwa, na ujenzi utasukumwa kwa kasi mno.

Viva RA, nchi yako tanua baba ingawaje sasa hivi inabidi uweke watu wengine front.

Lile ghorofa lililobomolewa ilikuwa amri ya PM sababu linahatarisha investment zao especially Seacliff.

What is EIA?
 
This is what I am talking about. Inabidi kwakweli media iexpose this thing. Waliofanya maamuzi haya wawajibishwe (kwasababu wamevujna multiple legislation) na haya maamuzi ya kuuza ama kukodisha yafutwe kwasababu ni kinyume na sheria. Simplez! Political Pressure.. Wananchi hilo tunaweza.

Kinyambiss for President 2020. We can fix all this..
This Kinondoni Municipal I can simply say that they are sick! These are the same people who gave COCO BEACH to QG and it was only after PM interference, the area was left free as it is now! As if that wasn't enough now they want to steal in open day light main reason being that most of them are not sure that they will come back as councillors after elections. They are not sure of their re-election!!!!! Hence they want to CCM now (CCM-Chukua Chako Mapema) but they must be told it is already late. Diwani wa Masaki ni nani? Kwanini vyombo vya habari zisimhoji? Meya Kimbisa yuko wapi? kwanini asihojua kama wa K'no hapatikani?
Why is only in Tanzania??????????????????????????????????
 
Back
Top Bottom