Exclusive Pictures: SeaFront- Imeuzwa nayo!

Exclusive Pictures: SeaFront- Imeuzwa nayo!

Thank you Lukuvi for your decision! Thank you Mwanakijiji for sharing this thread. Ubarikiwe zaidi.
 
The RC ordered the National Environmental Management Council (NEMC) to immediately conduct Environmental Impact Assessment (EIA) based on public interest views and advise the government accordingly.

"I am glad that NEMC issued a stop order against the development of this area, now I want you to conduct the assessment and advise us on the best way forward, but keeping in mind the President's advice on the use of this area," he noted.

According to Mr Lukuvi, President Jakaya Kikwete asked Kinondoni authorities to beautify the area so that the public can use it comfortably and not to allow private investors who could erect permanent buildings.

Hapa ndipo penye utata. Ku-beautify wengi wanadhani ni kujenga. Na ndiyo loophole ambayo wajanja watapenyea. Watu watabaki kubishana "permanent" maana yake nini! Hata Coco beach palianza hivyo hivyo!

Amandla........
 
FM... jamani kwani kila kitu lazima wafanye wawekezaji? yaani hata kubeutify mji tunataka wawekezaji!! hawa watu yaani wanaboa kweli..
 
FM... jamani kwani kila kitu lazima wafanye wawekezaji? yaani hata kubeutify mji tunataka wawekezaji!! hawa watu yaani wanaboa kweli..

Wanataka kupageuza Coco Beach nyingine. Karaha tupu! Manispaa wanadani wao kazi yao ni kuvuta tu na si kutoa huduma. Kila kitu wamewaachia wawekezaji kuanzia kuzoa taka hadi zima moto. Mimi hapa hata hiyo haja ya E.I.A siioni. Patangazwe tu ni open space ya kudumu, hakuna kujenga kitu (temporary au permanent), period.

Amandla......
 
Ahsante sana Engineer. Mimi kwa maoni yangu pakitengezwa vizuri kwa kupanda maua, majani na kuweka mabench ya kukalia na kuhakikisha yeyote yule anayetaka kwenda kupumzika pale anaweza kufanya hivyo bila kulipishwa basi hapo sioni tatizo, lakini kama wataanza kuwalipisha watu kiingilio ili kuaccess sehemu hiyo basi sitakubaliana nao kabisa. Hivi hawa hawaendi nchi za wenzetu wakaona sehemu nzuri nzuri zinazovutia ambazo zimeachwa wazi na Watu katika nchi hizo wanaenda kupumzika bila kulipishwa chochote!?
 
The RC ordered the National Environmental Management Council (NEMC) to immediately conduct Environmental Impact Assessment (EIA) based on public interest views and advise the government accordingly.

Mr Lukuvi who visited the site with NEMC officials and Kinondoni Municipal officials to sort out the matter, was told that out of six private investors, only one company submitted the details of the project they wanted to invest in.

NEMC Director General Mr Boniventure Baya named the company as Century Cinemax which intends to develop part of the area as recreational parks.

.

Kwa mujibu wa sheria ya Mazingira ya 2004 Cap 191 na kanuni zake NEMC haiwezi kufanya tathmini ya athari ya mazingira kama alivyoshauri Mkuu wa Mkoa. Ripoti za tathmini ndio hupelekwa NEMC ili ziweze kupatiwa kibali cha kuendelea au la.

Lakini vile vile kwa nini hao Manispaa wakatoa vibali bila ya kuwa na hata michoro ya hizo facilities ambazo zitajengwa hapo?
 
the point ni kuwa hilo eneo tayari limepimwa viwanja; kwa maneno mengine sidhani kama lilikusudiwa kuendelezwa kuwa huru bali kulikuwa na mpango wakujenga permanent structures pale. Binafsi ningeona wamecheza kama pele kama wata revoke licenses zozote zilizotolewa kwa hayo makampuni sita.. halafu wakatangaza an open tender to create a park that will be run in public-private patnership (meaning)..

Nawashauri waangalia sehemu ka Stoney Creek Park hapa kijijini au kama ni ya uhuru kabisa waangalie Belle Isle Park...
 
picture.php

Hiyo ni Belle Isle.. nje kidogo sana ya Jiji la Detroit (inasimamiwa na idara ya burudani ya Jiji la Detroit)..
 
the point ni kuwa hilo eneo tayari limepimwa viwanja; kwa maneno mengine sidhani kama lilikusudiwa kuendelezwa kuwa huru bali kulikuwa na mpango wakujenga permanent structures pale. Binafsi ningeona wamecheza kama pele kama wata revoke licenses zozote zilizotolewa kwa hayo makampuni sita.. halafu wakatangaza an open tender to create a park that will be run in public-private patnership (meaning)..

Nawashauri waangalia sehemu ka Stoney Creek Park hapa kijijini au kama ni ya uhuru kabisa waangalie Belle Isle Park...
.
Ushauri kama huu ndio Mzee Mwanakijiji unatakiwa kuuleta nyumbani, hii exposure ya viziara wanavyofanya waheshimiwa wetu, huku machoni wanashangaa maendeleo ya wenzetu huku moyoni ni mawazo ya jinsi ya kujaza jumbo suitcases zao kwa shopping, hayasaidii kitu.
Exposure ya kweli ni ile ya watu wanaoishi miongoni mwa walioona mwanga, na kuuleta mwanga huo kumulikia nyumbani kwenye giza, ili angalau viongozi wetu, waone mwanga na kuchukua hatua kama za RC Lukuvi na NEMC.

Kusaidia kwa hili, sio mpaka diasphora meeting au dual citizenship. Naamini hii post yako has a hand kwenye move ya RC Lukuvi, whistle blowing does help sometimes. Thanks.
 
Mzee Mwanakijiji uzidi kubalikiwa na uendelee kuihudumia nchi yako kwa uzalendo uliotukuka!! Hongera kwa kazi nzuri.
 
Wanataka kupageuza Coco Beach nyingine. Karaha tupu! Manispaa wanadani wao kazi yao ni kuvuta tu na si kutoa huduma. Kila kitu wamewaachia wawekezaji kuanzia kuzoa taka hadi zima moto. Mimi hapa hata hiyo haja ya E.I.A siioni. Patangazwe tu ni open space ya kudumu, hakuna kujenga kitu (temporary au permanent), period.

Amandla......

kweli sana mkuu inatia hofu kila kitu wawekezaji.kuna khatari tukafikia mahala tukaaachia wake zetu kwa wawekezaji wawekeze ili wazaliwe watoto bora. na sijui kama haijaanza hiyo kwa viongozi wetu kuachia wake zao kwa wageni ili wawekeze mbegu bora.
 
Hawa wawekezaji kwa nini wanang'ang'ania Dar tu mbona bahari imetanda sana kuanzia Tanga hadi Mtwara kwanini masaki tuuu ni yale yale ya Coco beach tunambiwa majengo si ya kudumu ili tusahau

JK amekuwa akisema kuwa mikataba mingi na uuzwaji wa open space ilifanyika wakati wa awamu ya pili na ya tatu kwamba hakuwa na uwezo nayo sasa hili sijui atajitoa vipi hiyo open space ikiuzwa hata akimaliza madaraka tutamuuliza kama tulivyomuuliza ben kuhusu Kiwira

Mimi nashauri kwamba hiyo sehemu iachwe wazi kwa public na sisi wananchi wa kawaida tupate sehemu angalau ya kuwatembeza wazee wetu wanapokuja kututembelea Dar maana wengi hatuna uwezo wa kuwapeleka Sea cliff kulipia
 
Mzee mbona unaoost mara kumi kuimi vipi hujiamini? Huko kuresize kwanini hukufanya kabla?
 
Wa kulaumiwa ni watanzania wenyewe hasa wakazi wengi wa Dar-Es-Salaam ambao wanaendelea kuwachagua MAJAMBAZI na MAFISADI wa CCM waendelee kushika madaraka, acha tu wahindi wajichukulie vyao kwa sababu watanzania wengi wameridhika na kuibiwa rasilimali zao, wameridhika kunyimwa haki zao, wameridhika kufanywa mazuzu, wameridhika kugeuzwa wapumbavu, wameridhika kudharauliwa na kuwa wajinga, ni pale tu watanzania watakapoamka na kujua umuhimu wa kutetea haki zao na dhamana yao kwa viongozi hawa ndipo kutakuwa na mabadiliko ya kweli.
 
Mazee..........yaani hali nzima inatia hasira sana kuona yanayotokea..............halafu kuna watu hapa JF wanatetea hiyo hali.....can you imagine that?.......damn!
 
i think we the pipo r to blame, we r the majority for gudness sake..! how on earth do these few corrupt shameless politicians make huge decision upon our land and our future while we stand aside and look..? this is our land ,,,,its our future..! why r we becoming onlookers in ur own country...???? LETS TAKE THE STREETS..LET OUR VOICES BE HEARD....!!!!
 
Back
Top Bottom