Exclusive Pictures: SeaFront- Imeuzwa nayo!

Exclusive Pictures: SeaFront- Imeuzwa nayo!

.
Ushauri kama huu ndio Mzee Mwanakijiji unatakiwa kuuleta nyumbani, hii exposure ya viziara wanavyofanya waheshimiwa wetu, huku machoni wanashangaa maendeleo ya wenzetu huku moyoni ni mawazo ya jinsi ya kujaza jumbo suitcases zao kwa shopping, hayasaidii kitu.
Exposure ya kweli ni ile ya watu wanaoishi miongoni mwa walioona mwanga, na kuuleta mwanga huo kumulikia nyumbani kwenye giza, ili angalau viongozi wetu, waone mwanga na kuchukua hatua kama za RC Lukuvi na NEMC.

Kusaidia kwa hili, sio mpaka diasphora meeting au dual citizenship. Naamini hii post yako has a hand kwenye move ya RC Lukuvi, whistle blowing does help sometimes. Thanks.
Siku hizi umegeuka mtetezi wa kanjibai
 
Back
Top Bottom