zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 1,674
- 3,310
Mbona Russia wamewauzia India mafuta kwa bei ya chini na Hakuna aliyepiga kelele huko Opec
Rusia na india ni mataifa makubwa hayapangiwi ovyo pia
Mbona Russia wamewauzia India mafuta kwa bei ya chini na Hakuna aliyepiga kelele huko Opec
Mkuu swali ni kwamba kwanini yaadimike kukiwa na taarifa ya kupanda bei?Lakin mkuu huoni kua mteja hapangi bei siku zote.
Alaf ni soko la dunia limepanda asa tutalazimisha kununua bei ya zaman akati wao wamepandisha bei
Au hizi bei ni kwetu tuh tz
Sema sirikali yote iko mafichoni mfuko wa nyuma wa wajanja.Aibu sana, Ewura sasa iko mifukoni mwa wajanja wachache
Mkuu swali ni kwamba kwanini yaadimike kukiwa na taarifa ya kupanda bei?
Tulia wewee. Bado mpo kwenye majengo marefu posta ambayo yako tupu? Mengine mmegeuza vyumba vya kuswali kwasababu yako tupu.Jaribu kufanya utafiti maana hata hujui tatizo lipo wapi ,acha kufuata mkumbo wa wanasiasa.
Magu ilikuwa Mitano(5 yrs) Tena ,huyu anapewa 10 yrs(Mikumi) Tena.Mikumi kapewa mwarabu au?
Mpaka unauwezo wa kuagiza hiyo chuma basi msamiati wa mafuta kupanda bei hauwezi kukuathiri wala hutoona tofauti na awali.hizi bei zinakukuta una V12 Bi-Turbo S650.. 😅😅😅
hakika mkuu, nilitoa mfano mkubwa.. kuna ile hali ya mtu unakuta anaotea chuma flani.. alafu ana fail maintain.. unaona hadi gari nyingi bongo services mbaya.. mtu anekuwa na hiyo chuma ana uchumi imara sanaMpaka unauwezo wa kuagiza hiyo chuma basi msamiati wa mafuta kupanda bei hauwezi kukuathiri wala hutoona tofauti na awali.
Shida ni kwamba hao hao wenye hizo kampuni ndo hao hao wako uko sirikalini.kwahiyo usitegemee jambo latofauti.Haya mambo ya kuagiza bulk ime fail vibaya ina mianya ya rushwa sana ni wakati wa kurudi kulekule mwenye uwezo alete tu mafuta halafu washindane sokoni hakuna kitu bei elekezi tuache ushindani wa biashara maana mafuta bei zake ni soko la dunia ndiko bei inacheza kutegemea demend and supply na wale wanaitwa speculators ndio wanachochea bei kucheza. Kuna haja kubwa ya kuja na mfumo mpya hakuna tender kampuni inataka kuleta mafuta iombe lincence ikifika vigezo wapewe license ushindani uwepo. EWURA kazi iwe kujuwa tu mzigo unaingia lini na mafuta yako yakutosha basi, sio bei.
Hii michezo inahitaji akili mingi alafu maamuzi kama Mwenda zake.Afadhali Makamba hayupo maana zingeshuka nyuzi humu, mtu wa watu hana kosa.
Na ht sasa bado watamshambulia tuAfadhali Makamba hayupo maana zingeshuka nyuzi humu, mtu wa watu hana kosa.
Ameingia hiyo wizara lini? Mume wa spika ndio Boss wa Ewura.
Wenye vituo vya mafuta wanajuwa mapema tu bei inapanda uliza watu wa Tabora na Kigoma wana muda gani hawana mafuta yamefichwa kusubili bei mpya.
Swali wafanyabiashara wanajuwaje bei itapanda na siyo kushuka?
Mimi nakubali kila mfumo unachangamoto zake lakini ni bora uwe na waletaji mafuta 10 kuliko mmoja. Hawa wafanya biashara sio wote wanapendana ushindani utakuwepo. Shida mtu mmoja alete mafuta halafu auzie wengine wote na zaidi uwapangie bei elekezi ndio shida. Chukuwa mfano umeenda sokoni unataka nyanya lakini wauzaji wote wa nyanya wananunua kwa mtu mmoja hivi kweli hata uzunguke soko zima unadhani utapata unafuu? tuache soko pana halafu to regulate tu.Shida ni kwamba hao hao wenye hizo kampuni ndo hao hao wako uko sirikalini.kwahiyo usitegemee jambo latofauti.
Mkuu jambo usilojua huko Mikoani kuanzia Kakonko, Biharamuro, Geita, Kagera(mpakani) bei ya mafuta ipo chini sana 70% ya bei ya DSM.Kama dar Bei ndo Hii,
Mlioko kagera na kigoma msipouziwa Lita elfu4 Sijui
Hizo Cartels zilizokaa hapo juu napenyea wapi..Kwani wewe ulikatazwa kununuwa na kuleta mafuta ya bei poa?
Unangoja nini badala ya porojo?
Kwanin mafuta yafichwe?Hata tungeenda kiholela nakumbuka Makamba alishasema ambae ana mafuta ya bei nafuu aje Ofisini Apewe kibali hakuna aliyeenda.
Hapa dawa ni ruzuku but njia nzuri ni kuwa na kampuni ya serikali tutafute marafiki zetu huko Nje watuuzie Kwa bei nzuri.
Kama.sio kuwatukana Waarabu na uhakika mama angeongea nao vizuri wangetuuzia mafuta Kwa bei chee