Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 33,884
- 54,128
Elewa swali.Mandela na Nyerere walienda kwenye maandamano na familia zao?Nyerere na Mandela ndio usiwataje kabisaaa,kama hujui historia bora utoe upupu wako hapa,hujui kwamba Mandela alifungwa kwa sababu zipi??