Eswatini: Jeshi na Polisi wapelekwa shuleni kuzuia maandamano

Yaani Eswatin hadI wanafunzi wa primary wanaandamana kudai haki zao.
Hapa Tanzania utasikia majinga yanasema Mbowe,Lissu na Lema watangulize familia zao mbele.

Ujinga hautaisha Tanzania.
Kuna kipindi hapo nyuma tulitoka lakin ajabu wew hukutokea kabisa
 
Hakuna anayekuzuia kuandika unachowaza.Kaa uelewe kwamba kama weye hautaki katiba mpya,tuliza kiuno wenzako wadai.
Acha upunguani,Marehemu maalim seif kipindi cha raia kupigwa kule Zanzibar Mwaka 2001yeye aliyeitisha maandamano ya kudai haki aliondoka siku chache kabla ya hayo maandamano!Kudai haki ni haki kabisa isipokuwa itoke ndani ya nafsi za watu sio kwa ushawishi wa mtu muoga na kuwatoa watoto wetu mhanga wa kwake wapo wamekaa nyumbani.You need to lead by example.At the end of the day ikitokea faida watoto wao watakuwa wankula layer ya wali ya kati kati wakati watoto wetu wanakula makoko kwa kuandamana then wakishawaondolea makoko wao wanakula layer nzuri then wakifika mwisho wameshiba wanawaachia watoto wetu ukoko.Hao watoto wanaoandamana its from within them sio kitu cha kupandikizwa!Waache watanzania wanaotaka kuandamana iwe imetoka mioyoni mwao kama hao wanafunzi!
 
Sasa hapo unakataa nini na unarudi palepale kushauri yaleyale?Ndiyo maana unapenda kutumia neno "punguani"!Kumbe linakupendeza kama dereva wa lori na usukani wake.
 
uwe unaelewa ndugu.

kuja watu wako wanalaumu watz kutokuandamana au wanahamasisha maandamano mitandaoni,wao wenyewe hawaingii wala hawaweki watoto wao.
Muache ni punguani,kama ni kuandamana tunataka familia zao na wao wenyewe wawepo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom