Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 10,947
- 15,566
upo sahihi pia, ila muktadha mfano wa kuzaliwa leo hii, elon musk, mo dewji, bakhresa, dangote na matajiri wengine wakipata mtoto hatujui nani atazaliwa ila ni wazi huyo mtoto shida za fedha, kupata elimu nzuri, nafasi ya kupata huduma bora zozote zinakua jambo la kusema tu.Ni sahihi kusema kwamba neno bahati hutumika kumaanisha kukosa ujuzi wa kujua sababu za hayo matukio kutokea kwa namna yalivyotokea au yanavyotokea?
tofauti na kuzaliwa ukanda wa Turkana kule kenya wanapopakana na kina sudan --- kupata janga la njaa ni suala la kufumba na kufumbua
View: https://youtube.com/shorts/HjmRIhvDcLg?si=fyp1Scdt18DzfWFl