Satan
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 2,153
- 3,515
Chumvi ya mawe humkinga mtu kwa muda. Na hapo utakapoitumia, ni kama umejichoresha kwao. Yaani hata kama hawakijui, ukishaitumia, ni kama umejiingiza kwenye rada yao.
Ili uwe salama basi yakupasa kuitumia mara kwa mara kama mtu atumiavyo ARV... Tazama watumiaji wanavyokuwa watumwa... Watu hawataki kusali, kutwa kucha ni kuoga dawa..
Mtu anazijua dawa mpaka anajiona keshakuwa mganga...
Imani za mambo ya kishirikina zinatesa sana watu.