Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 32,716
- 93,944
Ngoja nitafute safari fupi hapa soon nikajipime iq kwanza😆Ukitembea Tanzania ndani ndan utagundua watu wanaamini ujinga , nikiwa mpwapwa kwenye tatifi za magonjwa fulani , tulikuta watu imani za kichawi zinawatesa sana, nakumbuka kuna familia moja walikua wamemfungia binti wa miaka 17 ndani wakimficha wanadai kalogwa ana toa damu zinanyonywa na jini , kumbe yule binti ana Menometrorrhagia