Dunia ina mambo mengi ya kushangaza

Dunia ina mambo mengi ya kushangaza

Embu nikuulize swali dogo mnaposema mnataka ushahidi wa kisayansi huwa mnamaanisha nini

Ukinijibu hilo tutaanza kwenda sawa
Huu ujinga ujinga hauna tofauti na ule wa kikombe cha babu hivyo sioni cha kujadili na wewe
 
Kwa mtazamo wako ni ujinga

Wanasayans wa kileo wanaamini uwepo wa dark matter(nguvu inayoshikilia galaxy ama ulimwengu) nguvu hyo haionekani, haipimiki wala haishikiki ila inatambulika kwa athari zake

Ikiwa dark matter mnaitambua kwa athari zake kwanini mambo ya kiroho msiyatambue kwa athari zake?
 
Uchawi haupo zaidi ya ujinga na kutoelewa mambo na imani tu , kama upo thibitisha uwepo wake , fanya kuniloga sasa hivi ujue jina la mama yangu
 
Kumbe unatambua kwamba mtu anaweza kulogwa kwa kujua jina la mama

Anyway, ukifanyiwa uchawi sio kwamba utaona kuna lizombi linakujia na kukufanyia mambo fulani ila utapatwa na athari tu ambazo kwa akili ya kawaida bila kushtuka utahisi ni majanga ya kawaida..

Chukulia mfano mtu anayefilisika kiuchumi kwasababu ya uchawi, mara nyingi huwa anapatwa na majanga ya kawaida tu ambayo kwa jicho la kawaida unaona ni mapungufu ya kibinadam ila kiuhalisia ni uchawi unakuwa umetumika
 
hivi mkuu siku samia akasimama bungeni au ikulu akahutubia kwamba nchi yetu imelogwa ndo maana watu wamekufa oct 29, mali zetu zinapotea bila habari we utakubali?
 
Huu ujinga ujinga ukotaneni huko vijijini tu
 
hivi mkuu siku samia akasimama bungeni au ikulu akahutubia kwamba nchi yetu imelogwa ndo maana watu wamekufa oct 29, mali zetu zinapotea bila habari we utakubali?
Kwaiyo unamaanisha yeye ni mkuu wa wachawi mpaka useme hivyo?

Nadhani kuna kitu utakua unachanganya, serikali yenyewe inaendesha nchi kulingana na vitu vinavyoonekana. Viongizi wengi wana imani zao tofauti ili kuepusha mkanganyiko wa kiimani serikali imeamua kutenganisha imani ya mtu binafsi na katiba

Leo hii kiongozi wa irani anaweza kusema wao wanashambuliwa kwasababu ya uislam wao na wao wanatetea uislam wao..hapa utaona kiongozi wa irani yupo huru kuingiza imani kwenye mambo ya kiserikali tofauti na ulivyosema hapa kwetu rais ahutubie bunge kama tumelogwa(kwetu haikuwa na nguvu kwasababu tupo imani tofauti)
 
Hapa jukwaani sio wote tunaweza kustahimili maneno ya kejeli

Mimi natoa mtazano wangu na ninatambua maarifa tunazidiana ila sio kwa hicho kipimo chako
Nimeelewa mtazamo wako na ujinga sio kejeli ni hali ya mtu kutojua tu jambo , Tanzania kuna miaka tulikua na ujinga wa kuamini ukimwi ni uchawi , kuna vijijini nimekaa na kujenga ,nikaitwa mchawi na Freemasons hivyo ni ujinga tu na kutofahamu, hakuna nilipo kukejeli

Note,, pia sijakutuma u reply comments zangu ungeweza potezea tu
 
  • Thanks
Reactions: Lax

Inategemea na aina ya hivyo vijiji ulivyoenda... hapa tanzania ni sehem chache ambazo zinasifika sijawahi fika, ila nyingi nimefika nakuishi kwenye hali za kawaida kabisa kama mzawa hivyo nimejifunza mambo mengi.

Wewe kukaa sehem na kutopatwa na athari za uchawi kuna tafsiri kama nne ivi

1.hawakuwa na haja nawe
2.walikuwa hawakufahamu
3.milango yako ya kiroho ilikuwa imefunga hvyo uchawi ungepenya kwa tabu sana ama kwa nguvu kubwa
4.haukuwa na tishio lolote kwao
 
Umeongea maneno ya kiimani tu , imani za kichawi ni imani potofu tu , na ndio maana hata ukikuta sehemu walizoendekeza hizi mambo wana maendeleo duni sana , angalia wazigua
 
Na hilo ndilo lengo kuu la uchawi, uchawi haujawahi kuwa njia ya maendeleo bali kuumiza na kurudisha watu nyuma kimaendeleo.

Kundi kubwa la watu hutumia vibaya uchawi huku kundi dogo tu hutumia uchawi kwa maendeleo cc wahindi
 
Uchawi haupo kilichopo ni ignorance tu
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Kumbe unatambua kwamba mtu anaweza kulogwa kwa kujua jina la mama

Anyway, ukifanyiwa uchawi sio kwamba utaona kuna lizombi linakujia na kukufanyia mambo fulani ila utapatwa na athari tu ambazo kwa akili ya kawaida bila kushtuka utahisi ni majanga ya kawaida..

Chukulia mfano mtu anayefilisika kiuchumi kwasababu ya uchawi, mara nyingi huwa anapatwa na majanga ya kawaida tu ambayo kwa jicho la kawaida unaona ni mapungufu ya kibinadam ila kiuhalisia ni uchawi unakuwa umetumika
Nikikuambia mimi nililogwa nikawa mshabiki kindakindaki wa Marekani na Israel ila sasa nimeaguliwa naona kama nilikuwa kwenye chungu utakubali😁 ??
 
Nikikuambia mimi nilizaliwa mzungu wa denmark ila nilichoma sindano na kuwa mtanzania mwenye asili ya mbeya utakubali?
 
we si umeona mtoa mada vitabu tu alivyosoma kashavicha na anasema ni vya hatari, ila anataka tusikilize story yake na kuikubali 🤣

story za uchawi ni kama za chuma ulete ambavyo hazifanyi kazi benki mkuu
Atutajie majina ya hivyo vitabu
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom