Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,390
- 15,194
umeanzisha mada au hoja?Kwanini iwe mie ndio natakiwa kueleza uchawi ni nini katika huu uzi? Mimi sio mwenyewe uzi na nakuja hapa nakuta wengine mshachangia maoni yenu kuhusu uchawi na mie nachangia, sasa nashangaa unaposema nimekuwa mgumu kuelezea nini maana ya uchawi.
Mkuu ungetaka kujua maana ya uchawi hakika usingesubiri hadi nije wakati mie nimekuta watu mshaanza kujadili humu, acha kunionea mkuu.