Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,377
- 3,274
mambo ya kiroho/kimungu au ya ulimwengu usioonekana, niyakufanya wewe mwenyewe na roho yako. Maana mungu ni roho na roho iko ndani yako na wewe upo ndani ya ulimwengu wa kiroho.
Itoshe kusema hakuna padre wala katekista, hakuna askofu, nabii wala mchungaji, hakuna sheikh wala ustaadh anayeweza kukusaidia katika mambo ya kiroho sana sana atakupa miongozo tu ya hapa na pale kutokana na kitabu cha dini husika, miongozo ambayo hata yeye haijawahi kumsaidia.
Safari ya kiroho ni ya mtu mmoja na muongozo mkuu ni roho iliyopo ndani yako, au Mungu aliyepo ndani yako.
Huko nyumba za ibada pelekeni sadaka tu ila mtatoka kama mlivyoingia.
Dig deep to the root,
Dig deep to the truth.