Dunia ina mambo mengi ya kushangaza

Dunia ina mambo mengi ya kushangaza

Ukinikuta najadili mambo ya dini utaniuliza kama nina miliki nyumba ya ibada, ukinikuta najadili mambo ya afya utaniuliza tena kama nina miliki duka la dawa n.k
Huwa unachokijadili hakieleweki , ili kuleta uhakika wa unacho kidai ni uthibitisho tu na sio maaimani ya hovyo hovyo yasiyothibitika
 
Unaweza kuthibitisha vipi kuwa ulicho gundua kuhusu haya makanisa ni sahihi zaidi? au ni tafsiri yako binafsi tu?
Kwanza Mungu tunayemwamini ndiye? Ukikonekti doti zote unagundua uhusiano mkubwa sana uliopo kati ya Mungu wa wakristo na Miungu ya dini zingine, yaani Wahindu, Budha na hata waislamu, halafu unagundua kuwa ni Mungu kutoka katika familia ya Miungu(Yaani uzao wa EL), Pia unagundua kuwa Ukisema Mungu sio mmoja isipokuwa imelazimishwa haonekane kuwa ni mmoja(From Polytheism to Monoitheism).
Alama zote za Miungu ya dini zote zinazopatikana toka Mesopotamia(Iran na Iraq),Teotihuacan,Egypt, Maya na Zimbabwe zote zinafanana na zinahusiana na Mungu wa Wakatoliki( Annunaki).
Alama zote zinahusiana na Miungu Annunaki ambao ni uzao wa Anu(EL), Kumbuka jina Israel ni kifupi cha ISIS(Mungu mke), RA(Mwana wa Mungu) na EL(Mungu mkuu-Baba) dhana ya utatu.
Israel ni jina linaloonyesha uzao wa ISIS,RA NA EL.
Na mwendelezo wa EL unaonekana kwa GabriEL,EmmanuEL,MichaEL.
 
Attachments

  • WhatsApp Video 2026-03-20 at 11.06.26 AM (1).mp4
    9.9 MB
  • WhatsApp Video 2026-03-20 at 11.06.26 AM.mp4
    11.6 MB
Huwa unachokijadili hakieleweki , ili kuleta uhakika wa unacho kidai ni uthibitisho tu na sio maaimani ya hovyo hovyo yasiyothibitika
Sasa kama shida ni uwezo wenu wa kuelewa mie nitakusaidiaje? Kwa sababu mie sio mtu wa kuleta maimani humu kama unavyosema bali mara nyingi huwa nachallange hii mitazamo yetu.

Shida yenu mnajadili kwa kukariri.
 
Hakuna cha kukariri hayo maujinga ujinga ya ndoto sijui uchawi , nimeyaishi sana , na nina miaka ya kutosha humu dunian , hayana maana yoyote zaidi ya maujinga ujinga tu , ukiambiwa uthibitishe utaleta blabla tu ambazo pia hata sio ngeni ni masimulizi tu
 
Kwanini iwe mie ndio natakiwa kueleza uchawi ni nini katika huu uzi? Mimi sio mwenyewe uzi na nakuja hapa nakuta wengine mshachangia maoni yenu kuhusu uchawi na mie nachangia, sasa nashangaa unaposema nimekuwa mgumu kuelezea nini maana ya uchawi.

Mkuu ungetaka kujua maana ya uchawi hakika usingesubiri hadi nije wakati mie nimekuta watu mshaanza kujadili humu, acha kunionea mkuu.
hapana mkuu sijakupin wewe moja kwa moja, hii mada hua ni nzito sana na utata mkubwa unaanzia hapo kwenye uchawi ni nini, si unaona hata mtoa mada yupo defensive,
 
Kwanza Mungu tunayemwamini ndiye? Ukikonekti doti zote unagundua uhusiano mkubwa sana uliopo kati ya Mungu wa wakristo na Miungu ya dini zingine, yaani Wahindu, Budha na hata waislamu, halafu unagundua kuwa ni Mungu kutoka katika familia ya Miungu(Yaani uzao wa EL), Pia unagundua kuwa Ukisema Mungu sio mmoja isipokuwa imelazimishwa haonekane kuwa ni mmoja(From Polytheism to Monoitheism).
Alama zote za Miungu ya dini zote zinazopatikana toka Mesopotamia(Iran na Iraq),Teotihuacan,Egypt, Maya na Zimbabwe zote zinafanana na zinahusiana na Mungu wa Wakatoliki( Annunaki).
Alama zote zinahusiana na Miungu Annunaki ambao ni uzao wa Anu(EL), Kumbuka jina Israel ni kifupi cha ISIS(Mungu mke), RA(Mwana wa Mungu) na EL(Mungu mkuu-Baba) dhana ya utatu.
Israel ni jina linaloonyesha uzao wa ISIS,RA NA EL.
Na mwendelezo wa EL unaonekana kwa GabriEL,EmmanuEL,MichaEL.
Maelezo ni mengi sana lakini bado haujajibu swali langu, nimekuuliza hivi, una weza kuthibitisha vipi haya unayoyasema kuwa ni ya kweli na ya kaaminiwa na wengine? na si mtazamo wako tu binafsi?
 
Nyie mnaotaka kujua uchawi ni nini hamuwezi kupata jibu mnalolitaka kwasababu mnaamini yote yanatokea kwa sababu ya sayansi tu laiti kama mngejua kidogo upande wa pili nadhani mngeuliza maswali mengi kwaajili ya kujifunza na sio mabishano
 
Tujuze
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom