mambo mengi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania wewe ni mtu wa kuchill nyumbani au wa kutoka kwenda viwanja, vijiweni, n.k ?

    Wewe ni mtu wa kuchill nyumbani 🏡 au wa kutoka kwenda viwanja
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Dunia inazidi kuwabadilisha waislamu mambo mengi sana sasa washagundua mbwa sio haramu kwao kama mfugo

    Ilikuwa ngumu muislamu kusema afuge mbwa na kuweka mazoea naye. Ila kwa dunia ya sasa ukiangalia waislamu wameanza kugundua mbwa anaweza kuwa mlinzi wako na familia yako.Lile tukio lilotokea Venezuela la mbwa kumrinda mtoto we hapo unaweza kusema nini.
  3. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Argentina VS England: Imebeba mambo mengi na hisia zaidi ya mpira

    Ni mechi ambayo inaenda kukumbushia historia ya vizazi vingi katika nyanja mbalimbali Huko Atlanta, Lionel Messi atacheza dhidi ya Uingereza kwa mara ya kwanza katika taaluma yake huku mabingwa watetezi wa dunia wakijaribu kumzuia Thomas Tuchel kumaliza miaka 60 ya maumivu. Lakini si ushindani...
  4. Quinton Canosa

    JamiiForums Tanzania Bongo mambo mengi sana

  5. Nyarupala

    JamiiForums Tanzania RITA Nkasi(Namanyere) KWANINI MNA MAMBO MENGI HIVI?

    Habari za mida hii? Nina mtoto ana miaka miwili na nusu. Sasa,j'nne niliingia mtandaoni ili nifanyie mchakato wa kupata cheti chake Cha kuzaliwa. Niliambatanisha viambata viwili kama ilivyoekekezwa kwenye mtandao wao(eRITA) Niliambatanisha kitambulisho Cha kwangu Cha NIDA kama baba na kadi ya...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa kupenda kwangu Chini nimefanikiwa kwenye mambo mengi sana

    jamaa zangu mara nyingi huwa wananiambia "Chidy unapenda sana chini we jamaa" kwa kweli siwakatalii mimi napenda sana chini na huko kumenisaidia katika mambo mengi sana kwa kuwa nilipoanza kuwa napenda chini nikagundua ukipawezea huko chini kuna utajiri mwingi sana sema watu hawajui tu au...
  7. Pakome

    JamiiForums Tanzania Hayati Mwalimu Nyerere, baba wa Taifa la Tanganyika alifanya mambo mengi na makubwa lakini Muungano na Zanzibar ulikuwa uamuzi mbaya

    Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere baba wa Taifa la Tanganyika, alifanya mambo mengi na makubwa lakini Muungano wa T + Z ulikuwa uamuzi mbaya Madhara ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni makubwa sana hayafai kuelezea Naweza kuelezea kwa ufupi sana lakini taarifa nyingi zinapatikana kwa...
  8. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na Emotional intelligence utayashinda mambo mengi

    Ukiwa unauwezo wa kudhibiti hisia zako utakuwa mtu hatari sana na pia utaweza kuyashinda mambo mengi , hata choko choko ndogo ndogo unazipotezea mtu anaweza akakutafuta kishari anashangaa haujai kwenye mfumo unampotezea. Watu mlioajiriwa maofisini jitahidini muwe na Emotional intelligence...
  9. msauzinho

    JamiiForums Tanzania Ila daladala za Dar zina mambo mengi

    Ukipanda daladala za Dar ni vituko, vichekesho na kutamanishana tu. Hebu chek hii video
  10. Red black

    JamiiForums Tanzania First impression inaamua mambo mengi sana either ukubalike au upuuzwe.

    Unakuta mtu kwenye issue za sports anavaa KANZU na koti la suti. lazima uonekane miyeyusho tu Maintain positive first impression itakusaidia sana vaa Smart popote pale unapokwenda.
  11. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Kutoa msaada ni sadaka inayoweza kukufanikisha katika mambo mengi kwenye maisha yako

    Kutoa msaada kunaweza kukupa fursa kubwa maishani mwako soma hapa chini Kutoa msaada kama vile pesa, mali , ushauri n.k kwa ndugu, jamaa na marafiki au mtu yoyote mwenye uhitaji ni sadaka pia, Unapokuwa mtu wa kusaidia unajijengea baraka au fursa kuzipata bila kutegemea kutoka kwa Mungu...
  12. buzitata

    JamiiForums Tanzania Dunia ina mambo mengi ya kushangaza

    Habarini wakuu Leo nimeona nikumbuke matukio niliyoyashuhudia ambayo yananiweka mdomo wazi na sijui nilikuwa nawaza nini(nitabase zaid upande wa kiroho) Kwanza kabisa mimi ni aina ile ya watu ambao tunataka kujua kila kitu hata kama ni vya hatari ila nitajilazimisha nijue tu. MImi ni...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mengi kuhusu hema la kuabudia kupitia wimbo huu kutoka kwa Mch Mbarikiwa Mwakipesile

    https://youtu.be/t8GR0scaBDU?si=WSSQno-FJC9qGszB
  14. D Metakelfin

    JamiiForums Tanzania Kujenga na Ujenzi kwa wenye kipato cha chini

    Tuanze na hii hiki ni Chumba kimoja chenye urefu na upana wa futi 14,Kwa 14, chumba kina choo ndani, chumba pia kina jiko ndani jiko la saizi ya futi 4 Kwa 5, apo zimetumika tofari 780, sehem ni kigamboni kibada,,,, maisha ni kuchagua😍😍 Kwa ushauri Bora wa kitaalamu muone Hechy Essy
  15. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wanawake ukiwasikiliza utapata kujua mambo mengi sana kuhusu jamii inayokuzunguka

    Kama mnavyojua wanawake wanapenda sana kusikilizwa yaani hata kama anaongea pumba wewe jifanye tu unamsikiliza na ukiweza ongezea kidogo kwenye story yake ili ajue mpo sambamba. Sasa jana moja ya kitu kilichonichekesha sana jana nilipotega sikio kwa wife na kuwa active akinipa story za hapa na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mambo mengi muda mchache, reformed checker iko karibu na si tetesi tena

    Reformed checker imekaribia ,sasa mtiririko wa kete utaenda kwa kanuni na sheria za hiyo reformed checker, Hakutakuwa na kete bora kuliko reformed checker,hii ni historia na mapinduzi makubwa kwa wapenda haki,old phase ya previous checker itakuwa over,lakini ni huzuni kubwa kwa wabubujikwa...
  17. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kesho hakikisha unaweka Bundle , mtajua mambo mengi kuhusu Super black kunyimwa karatasi , issue ya Mzee wa NRNE , na mauaji ya jamaa mweupe wa Tanga

    Kesho weka bundle Mkuu kuna good news zinakuja . Taifa linaenda kupona Timu zipo tatu -hana deni (Consumers) -NREN -Tubadilishe Striker la sivyo tukose wote . Wabaya zaidi wazee watukose wote wapo wengi na hapa mzee wa NRNE anaenda kujiokotea Dodo Kocha Mchezaji ambaye alipata GPA 2 kwa...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wale watu wa "tusikate miti joto litaongezeka" wako kimya sasa. Mambo mengi tunayosoma shule ni utapeli

    Dar es salaam sasa nina mwaka wa 11, mwaka huu unatia fora kwa baridi kali. Haya nyie wanajiografia mniambie je, kiwango cha upandaji miti Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla kimekuwa kikubwa zaidi mwaka huu? Malori ya mkaa kutoka mkoa wa Pwani ambako kuna miti na misitu mingi yako mengi sana...
  19. OLS

    JamiiForums Tanzania Ilani za Uchaguzi zinakosa mambo mengi ya msingi

    Nimetumia muda kusoma ilani ya Uchaguzi ya CCM, sio kwa ubaya lakini nawaza inakuwaje kama mtu unakuwa na maswali dhidi ya utekelezaji wa Ilani. Maana kikubwa kilichopo ni ahadi za kuleta ajira, kukuza utalii na kuongeza mikopo nk. Lakini mambo yote haya hayajaweka ni kwa namna gani vitu hivi...
Back
Top Bottom