Dunia ina mambo mengi ya kushangaza

Dunia ina mambo mengi ya kushangaza

Huwezi kusema dhana ya ukoloni ndio kipimo chako cha uchawi kwa sababu hakuna mahusiano ya moja kwa moja na uchawi na hilo suala la ukoloni hadi ikawa ndio kipimo chako, hao wazee wetu hawakuwa na tawala za kichawi kiasi cha kudhani wangetumia huo uchawi kama silaha au kujilinda katika mapambano.

Lakini pia kama nilivyosema kwamba kushikilia hili la ukoloni hiyo tena sio kutaka kupata ukweli wa uwepo wa uchawi bali mie naona ni kama unahoji nguvu ya uchawi.

Sasa mkuu badala ya kukaa na kusikiliza tu story za watu kuhusu uchawi na sijui kusubiri wakuletee uthibitisho, kwanini usichunguze mwenyewe? Mfano min-me yeye anasema kafanya utafiti masuala ya imani za kichawi katika upande wa afya, mimi ndio napenda kuona vitu kama hivyo hata mkijadiliana kuna hatua mnasogea.
dhana ya ukoloni mimi ndo tafiti yangu ya kupima story za uchawi, plantations za wakoloni zingekua zinapigwa kipapai wasivune kitu, askari wa kikoloni wangekua wanapigwa kipapai waumwe na kufa na kuchanganyikiwa, mali za wakoloni zingekua zinapotea

kwenye miongoni mwa story za uchawi kuna story ambao zingefanikisha hayo niliyoyasema kwa wakoloni.

kwa kua hao mababu wahakuwataka wakoloni, nilitegemea wachawi wachache wangestep up.

kuna jamaa huwa wanasema kijijini wazee wakikuamulia mvua inanyesha kwenye shamba lako tu wakati wa kiangazi kuharibu mazao yako wakukomoe, theory hii ukiwauliza kwanini mvua za msimu zikichelewa hawawezi zifanya zinyeshe zile za kuibukia ili zijaze majaruba ya mpunga waanze kilimo on time --- wanasema uchawi unafanya kazi kwenye kudhuru tu, --- ukipachika kwanini hawakudhuru mashamba ya mkoloni kwa njia hii wanaingia mitini na kukuona kama umechanganyika na swali ulilouliza
 
Dawa ninayokupa imwagie uwanjani kwako asubuhi ukiamka utamkuta mchawi kadondoka hawezi kuruka.
Hii dawa ninayokupa ifunge mlangoni kesho asubuhi ukiamka utamkuta mchawi kanasa haondoki hadi umfungue mwenyewe.
Hahaha waganga wanacheza na saikolojia yako tu kukunasa wakupige hela asilimia 90 wanaishi kwa janjajanja
Sasa mganga atachezaje na saikolojia yangu wakati mpaka mie naenda kwa mganga nataka kuona jambo langu likifanyika na kuona matokeo?
 
dhana ya ukoloni mimi ndo tafiti yangu ya kupima story za uchawi, plantations za wakoloni zingekua zinapigwa kipapai wasivune kitu, askari wa kikoloni wangekua wanapigwa kipapai waumwe na kufa na kuchanganyikiwa, mali za wakoloni zingekua zinapotea

kwenye miongoni mwa story za uchawi kuna story ambao zingefanikisha hayo niliyoyasema kwa wakoloni.

kwa kua hao mababu wahakuwataka wakoloni, nilitegemea wachawi wachache wangestep up.
Labda nikuulize, ungwezaje kujiridhisha kuwa ni uchawi ndio uliyofanya hayo au kungekuwa na uthibitisho gani ambao ungeweza kuthibitisha hayo matukio ni uchawi endapo yangetokea?
 
kwenye hiyo post niliedit kwa kuongezea haya
kuna jamaa huwa wanasema kijijini wazee wakikuamulia mvua inanyesha kwenye shamba lako tu wakati wa kiangazi kuharibu mazao yako wakukomoe, theory hii ukiwauliza kwanini mvua za msimu zikichelewa hawawezi zifanya zinyeshe zile za kuibukia ili zijaze majaruba ya mpunga waanze kilimo on time --- wanasema uchawi unafanya kazi kwenye kudhuru tu, --- ukipachika kwanini hawakudhuru mashamba ya mkoloni kwa njia hii wanaingia mitini na kukuona kama umechanganyika na swali ulilouliza

kujibu swali lako --- kwamimi ningeweza sasa kulitilia maanani kuutafuta uhalisia wake, na kwa asilimia fulani ningeweza shawishika kama unapiga kazi
 
kwenye hiyo post niliedit kwa kuongezea haya

kujibu swali lako --- kwamimi ningeweza sasa kulitilia maanani kuutafuta uhalisia wake, na kwa asilimia fulani ningeweza shawishika kama unapiga kazi
Hadi sasa si hakuna uthibitisho wa kuwepo uchawi wala maelezo yenye kuweza kuelezea jinsi uchawi unavyofanya kazi na ndio hoja kubwa sana yenye kutumika kupinga matukio yenye kuhusishwa na uchawi, sasa bado sijaelewa wewe ungeshawishika vp na kuona uchawi unafanya kazi pasina kuwepo maelezo yenye kuelezea jinsi huo uchawi ulivyofanya kazi hadi kuleta hayo madhara na bila kuwepo uthibitisho.
 
Sasa mganga atachezaje na saikolojia yangu wakati mpaka mie naenda kwa mganga nataka kuona jambo langu likifanyika na kuona matokeo?
Matokeo atakwambia ni baada ya siku 40 na muda huo ushamlipa hela utamfanyaje?ukipaniki na kumshitaki atakwambia ulikosea masharti ndio maana haikufanya kazi mbona wagonjwa wangu wengine walipona kwa dawa hiyo hiyo.
 
Hadi sasa si hakuna uthibitisho wa kuwepo uchawi wala maelezo yenye kuweza kuelezea jinsi uchawi unavyofanya kazi na ndio hoja kubwa sana yenye kutumika kupinga matukio yenye kuhusishwa na uchawi, sasa bado sijaelewa wewe ungeshawishika vp na kuona uchawi unafanya kazi pasina kuwepo maelezo yenye kuelezea jinsi huo uchawi ulivyofanya kazi hadi kuleta hayo madhara na bila kuwepo uthibitisho.
mkuu maelezo yote toka mwanzo wa mjadala , naweka nukta mkuu
 
Matokeo atakwambia ni baada ya siku 40 na muda huo ushamlipa hela utamfanyaje?ukipaniki na kumshitaki atakwambia ulikosea masharti ndio maana haikufanya kazi mbona wagonjwa wangu wengine walipona kwa dawa hiyo hiyo.
Hebu toa mfano kama jambo gani ambalo matokeo yake ni hadi baada ya siku 40?

Yani kama waganga 90% ndio wangekuwa hivyo basi hadi sasa kazi ya uganga ingekuwa haina soko, amini nachokwambia mkuu.
 
Kwa hiyo unadhani ukienda kwa mganga kwa magonjwa ya kishirikina matokeo yake ya kupona unayaona siku hiyohiyo?
 
Itategemea na aina ya tatizo. Hebu chukua mfano mtu kaingiwa na hali ya ukichaa ghafla anapiga kelele na kufanya fujo halafu mtu kama huyo akapelekwa kwa mganga, lazima tutegemee hiyo hali ya kupiga kelele na kufanya fujo itulie siku hiyo hiyo hata kama hatopona kabisa kabisa kwa siku hiyo hiyo. Na kesi kama hizo ndio utamjua tapeli anayejifanya mganga maana hapo hakuna nafasi ya kucheza na akili za watu hapo watu wanataka kuona matokeo.
 
Kwa hili Uko sahihi.
Ila huwa hawafanyi kazi bila helq atakwambia kuna dawa za kununua zinahitaji hela.
Utafanyaje utalipia ili tiba ianze au utapoteza muda kubishana huku hali ya mgonjwa inazidi kuwa mbaya
 
Kama itakuwa hivyo ndugu wa mgonjwa itabidi walipe ili mgonjwa wao apatiwe tiba.
 
Back
Top Bottom