dr silaaWakati gazeti la Nipashe likianzisha kura ya maoni miongoni mwa wana-CCM wanaotajwa kuwania kuteuliwa na CCM kuwakilisha chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao kugombea nafasi ya uraisi kupitia chama hicho na huku bwana Lowassa akiongoza kwa kura,nafikiri ni busara na sisi kupitia mtando huu wa JF kumpambanisha bwana Lowassa na Dr. Slaa katika kinyang'aricho hicho cha uraisi kwa mwaka 2015.
Tupige kura kwa kuandika jina tu la mgombea unaedhani atafaa kuwa raisi endapo itatokea hao wawili wanateuliwa kuviwakilisha vyama vyao katika uchaguzi mkuu ujao.
NB😛iga kura bila kuendesha campaign yoyote.
Kwa hiyo umeshaamini sasa kwamba watu wanampigia Slaa kura halafu Magamba yanachakachua.
Hapana. wanaopiga kura humu huwa hawajitokezi kwenda kupiga kura mara uchaguzi unapofika. wanaishia kupiga kura kwenye keyboard tuu.
mkuu tunasubiri uboshaji wa daftari, 2015 saa 10 usiku tutakuwa kituoni, baada ya hapo hatua 100 kusuburi matokeo tukiwa na viroba vyetu na pepsi ya kuchanganyia kama mnavyotuita, eti wanywa viroba, thamani yetu mtaijua mwakani
Hao wote hawafai tunamtaka Wassira a.k.a Tyson.
Tayari imeishawekwa LINK rudi mwanzoni kabisa,hata matokeo unapata hapo.
Mkuu ni rahisi sana kuyaongea hayo ukiwa humu JF.