Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,580
- 23,914
Bavicha wamepiga mara kumi kumi. Alaf wakishinda hapa wana jifariji kuwa wana kwenda ikulu.
Tukija kwenye uchaguzi waka angukia pua utasikia wana sema usalama wa Taifa waliiba kura.
Ruttashobolwa, kwa ufahamisho tu; kati ya watu karibu milioni ishirini waliojiandikisha kupiga kura mwaka 2010, Jakaya Mrisho Kikwete aliambulia kura milioni tano tu! Ajabu ni kwamba pamoja na kupata robo tu ya wapiga kura, tume ya uchaguzi (CCM na TISS) ikamtangaza kama mshindi! Je umewahi kujiuliza kura zaidi ya milioni kumi na mbili zilipotelea wapi?
Last edited by a moderator: