me mbona nashindwa kupiga kura jamani.. nielekezeni wanaojua
Basi mkuu tulia kama maji mtungini, utapata ubaridi wake baadae
Ruttashobolwa, kwa ufahamisho tu; kati ya watu karibu milioni ishirini waliojiandikisha kupiga kura mwaka 2010, Jakaya Mrisho Kikwete aliambulia kura milioni tano tu! Ajabu ni kwamba pamoja na kupata robo tu ya wapiga kura, tume ya uchaguzi (CCM na TISS) ikamtangaza kama mshindi! Je umewahi kujiuliza kura zaidi ya milioni kumi na mbili zilipotelea wapi?
Mkuu ni rahisi sana kuyaongea hayo ukiwa humu JF.
1. Login
2. angalia hapo juu kabisa kuna hii pool
3. click kwenye radio button pembeni mwa mgombea unaye mtaka
3. click sehemu imaandikwa "vote now"
4. simama hatua 200 kutoka kituo cha kupigia kura kusubilia matokeo
5. Shangilia ushindi au huzunika kwa kushindwa
Mbona simple tu
Kweli wewe AFANDE MAKU!
Mkuu ni rahisi sana kuyaongea hayo ukiwa humu JF.
jaman mods me naona utaratibu wa kupiga kura haueleweki.. me nimejitahidi kupiga k6ra lakini sipati la k7chagua wahusika Dr. au EL. nikibofya kwenye "vote now" inaniambia nirudi nyuma kuchagua option .. naomba maelekezo zaidi otherwise. mods plse make the voting easier to follow
hebu wafahamishe. Wanajidai eti chadema wamepiga kura mara mbili mbili, nani amewakataza kina ritz na vijana wengine wa lumumba kupiga kura mara tatu tatu? Ukweli mchungu.
...Poti tupo pamoja wametubania !!!!
....wasalimie villa park + kawe kamo