Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,060
Friends of Lowassa (Pasco & co) timu yake fungueni ID kisha mumpe Eddo kura maana naona tayari jahazi limezama.
Teh teh teh tehFriends of Lowassa (Pasco & co) timu yake fungueni ID kisha mumpe Eddo kura maana naona tayari jahazi limezama.
Watumie email ama pm mods wakurekebishie id yako iwe ronald reagan badala ya ronal reaganFriends of Lowassa (Pasco & co) timu yake fungueni ID kisha mumpe Eddo kura maana naona tayari jahazi limezama.
Hii kura za Pro-Chadema JF na multiple IDs za kumwanga huwa zinamdanganya sana Dr.Slaa, kila siku anaibuka mshindi.
Akienda kwenye mahakama ya raia anashindwa vibaya mwisho wa siku analalamika Usalama wa Taifa wameiba kura zake.
Dr.Slaa hongera kwa ushindi wa JF watanzania wanakusubiri kwenye box la kura.
hii kura za pro-chadema jf na multiple ids za kumwanga huwa zinamdanganya sana dr.slaa, kila siku anaibuka mshindi.
Akienda kwenye mahakama ya raia anashindwa vibaya mwisho wa siku analalamika usalama wa taifa wameiba kura zake.
Dr.slaa hongera kwa ushindi wa jf watanzania wanakusubiri kwenye box la kura.