Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Hii kura za Pro-Chadema JF na multiple IDs za kumwanga huwa zinamdanganya sana Dr.Slaa, kila siku anaibuka mshindi.

Akienda kwenye mahakama ya raia anashindwa vibaya mwisho wa siku analalamika Usalama wa Taifa wameiba kura zake.

Dr.Slaa hongera kwa ushindi wa JF watanzania wanakusubiri kwenye box la kura.

Unalo, wacha wivu wa kike
 
[h=3] c
....

lose on 3rd May 2014 at 13:35
[/h]
  • Edward Lowassa


    33 11.83%



  • Dr. Willibrod Slaa




    228 81.72%


    ...Mungu anaongea na watu....
 
jaman mods me naona utaratibu wa kupiga kura haueleweki.. me nimejitahidi kupiga k6ra lakini sipati la k7chagua wahusika Dr. au EL. nikibofya kwenye "vote now" inaniambia nirudi nyuma kuchagua option .. naomba maelekezo zaidi otherwise. mods plse make the voting easierbto follow

Mkuu usikurupuke kubonyeza "Vote now" ni lazima kwanza ubonyeze kitufe kilichoko pembeni mwa jina la mgombea unayemtaka kisha ndo ubonyeze "vote now"
 
ccm msijidanye kurudi ikulu njia zimefungwa tena huyu tyson hata ndani ya chama chake hakubaliki, alipewa kura za huruma za nec 2012

pyuuu! Kama bata kanya.
Hivi mtu asiyekubalika anaongozaje kura za maelfu ya wajumbe wa Mkutano Mkuu na NEC.
Kijana rudi darasani ukasome research.
 
Unalo, wacha wivu wa kike

...Mtupie hiyo aipeleke Msoga !!!


attachment.php
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom