Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Sasa si mngetengeneza link ya kupigia kura kabisa? Waombe Mods wakusaidie mkuu. Ningelikuwa najua wanapatikanaje ningewaomba!

Tayari imeishawekwa LINK rudi mwanzoni kabisa,hata matokeo unapata hapo.
 
lowasa ndie raisi wetu ajaye wa watanzania. kama hutaki hama nchi
 
Baba wa Taifa alituusia kujichunga na Lowasa kwani anautajiri wa kutisha wenye usiri na utata mkubwa aidha kashfa za richmond bado zinamtafuna hivyo hafai kuwa mgombea huku Slaa ana kashfa za ngono, ufisadi wa kuchota pesa za ruzuku za wanachama wa Chadema ati analipwa sh. milioni 12 kila mwezi kwa makubaliano na chama chake!!!

kwa ujumla wote hawafai!!!! tupa kulee majina yao nenda kalete wagombea wapya la sivyo kura yangu itakuwa ya maruhani!!!

Baya zaidi wote wanatoka ukanda wa Kaskazini na kuleta ukandanization ktk taswira ya nchi hii!!!
mimi nashauri Zito Kabwe au Tundu Lisu wagombee kupitia Chadema huku CCM wamlete Salim Ahmed Salim!
 
Ungeanzisha poll ya Dr Slaa vs Mgombea yeyote wa ccm.Maana wasije kujiaminisha matokeo yatakuwa ya tofauti,lets says akisimamishwa Membe,Sitta ama Magufuli nk
 
Lowasa tu! Hilo Padri lirudi kanisani tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom