Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Lowasa asingekuwa chama cha mauaji tungempima, lakini kwakuwa yupo huko lete mwingine wa kumlinganisha na JEMBE Dr. Slaa
 
Mnajiliwaza tu na hizi drama zenu Ndesamburo mwenyewe kageuka mpiga debe wa Lowassa nyie Chadema kata mna nini.
kwani mlivyokuwa mnampigia zitto ilikuwa ndio mpo serius kuwa awe rais?
 
Nimeshindwa kupiga kura au daftari hili ni jipya na halina jina langu?
Slaa

MODS NAOMBA MUWASAIDIE WATU WANAOTUMIA SIMU WAWEZE KUVOTE. Badili view toka Mobile iende Touch, kisha badili iwe fullsite, hapo utautafuta uzi huu kwenye jukwaa la siasa, kisha utapiha kura hapo.
 
hata poll ya 2010 humu JF Slaa alishinda so sitoshangaa akishinda tena humu kwa kishindo alafu uchaguzi wenyewe akaambulia asilimia 10 tuu.
 
Sioni jinsi ya ku-vote kwa simu,ila kura yangu kwa Dr.Slaa
 
hata poll ya 2010 humu JF Slaa alishinda so sitoshangaa akishinda tena humu kwa kishindo alafu uchaguzi wenyewe akaambulia asilimia 10 tuu.
Kwa hiyo umeshaamini sasa kwamba watu wanampigia Slaa kura halafu Magamba yanachakachua.
 
Lowassa Ndiye atakayefaa kuwaunganisha watanzania wa vyama , dini, makabila na kanda tofauti. Nchi imegawanyika inahitaji mtu mwenye busara wa kuiunganisha.
 
Mod, tukimaliza hii pool na huyu fisadi papa, naomba mtuwekee tena Dr. Slaa na mgombea mwingine prospect wa magamba ili tuwasadie kupata mgombea anayewafaa. Ikiwezekana muanze na huyu kijana Marope ajionee mwenyewe kama harakati zake zimeleta matunda so far!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom