Sio popo...ni mfia dini .
Wakati wa Magufuli alimuunga mkono kila kitu Hadi udikteta..
Now anapinga kila kitu hata demokrasia mradi Rais sio wa dini yake...

Wewe jamaa siku hizi unaandika pumba sana. Sasa udini wa silaa uko wapi hapo? Kasema kisheria hakukua na katazo ilikua ni ubabe wa magifuli tu. Na sasa hakuna ruhusa maana sheria haikuweka katazo lolote. Usichoelewa nini chawa wa makamba na tanesco wewe
 
Ila kuna vitu vya kipumbavu sana na hii inaonesha tatizo hata sio katiba bali ni sisi wenyewe kwanza, kwamba Samia karuhusu mikutano ya kisiasa na jambo hilo likaonekana ni hisani tu ya Samia. Kibaya Samia hakuonesha kwamba hilo katazo halikuwa sahihi ila ajabu tunampongeza na kumshukuru kwa kuruhusu jambo ambalo hakuwa na haki ya kulizuia.

Huu uvunjaji wa katiba na hii nguvu kubwa aliyopewa rais na katiba ni vitu ambavyo tunavilea wenyewe, hatujui kesho Rais atazuia nini na itatuchukua muda gani hadi aamuwe kuruhusu tena tuje kushukuru.
 
Ndo tatizo ya akili ndogo we tuletee katazo Hilo harafu ndo uje na maneno Yako hayo machafu
Umemjibu vizuri sana,huyu jamaa anajionaga yeye anajua kila kitu.Kwa lugha nyingine.ni kwamba Dkt.Slaa anamaanisha lilikuwa katazo haramu mwa mujibu wa Sheria, Kwaiyo Rais alipaswa tu amwagize Msajili wa vyama vya siasa awaandikie barua vyama vya siasa kuemdelea na shughuli za mikutano ya adhara.
 
Sio popo...ni mfia dini .
Wakati wa Magufuli alimuunga mkono kila kitu Hadi udikteta..
Now anapinga kila kitu hata demokrasia mradi Rais sio wa dini yake...
Kwaiyo Magufuli hana mazuri aliyofanya nchi hii mpaka asisifiwe.Kwanza unawajua Madikteta vizuri,Magufuli angekuwa Dikteta hao wakina Kikwete na genge lake wangekuwepo achilia mbali wapiga dili wa siasa Mbowe na Zitto Kabwe!
Alikuwa na uwezo wa kuwapoteza wote kama angetaka!
 
Hapana elewa logic amemaanisha mabavu ya utawala usio wa kisheria wa system chini ya mwendazake! Hakuna sheria ya katazo iliyowahi kupitishwa na kisheria ilipaswa kupitishwa na Bunge!
Siasa zetu ni ya yanga na simba. ni vigumu kumwelewa watu wenye akili kubwa km dr slaa.dr slaa amesema kweli km hayo mambo yakiendelea ipo siku ataamka kiongoz kichaa atafanya maamuzi ya ajabu hayajawahi kutokea.tukiacha ushabik dr kaongea point kubwa sna.
 
Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio.

Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo.

Msikilizeni Dr hapa chini.

Hawa wanasiasa wa aina hii hawatatufikisha popote.
Ingekuwa vema amlaumu JPM pia kwa kumteua balozi mtu retired
 
Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio.

Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo.

Msikilizeni Dr hapa chini.

Haka kazee ni kachawi tu! Unafiki katika umri huo ni uchawi tu! Angalia CDM, ACT msijekaribisha huyu shetani ndumilakuwili! atawaloga wote muishe!
 
Wewe jamaa siku hizi unaandika pumba sana. Sasa udini wa silaa uko wapi hapo? Kasema kisheria hakukua na katazo ilikua ni ubabe wa magifuli tu. Na sasa hakuna ruhusa maana sheria haikuweka katazo lolote. Usichoelewa nini chawa wa makamba na tanesco wewe
Kawa mjinga mjinga sana huyu jamaa

Senior Jobles
 
Back
Top Bottom