Hakuna mzee MPUMBAVU kama huyu alipewa Hadi ubalozi saivi magufuli hayupo ana mdiss ana shukrani anataka tumbo liongezeke tu upinzani wasiikubali hii takataka isiyokuwa na msimamo
 
Kigeugeu. Kwanini hakuyasema wakati simba mwenyewe akiwa hai? Au njaa na kiu ya asali ya mama?

..Dr.Slaa amesema UKWELI.

..na ni bora kusema ukweli hata kama umechelewa kuliko kutetea jambo la uongo siku zote.
 
Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio.

Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo.

Msikilizeni Dr hapa chini.


Kuna possiblity Dr Wilbroad Slaa siku moja akarudi kwenye active politics tena kwenye chama chake kilekile kilichompatiaga ubunge wa Karatu kwa vipindi vitatu mfululizo - yaani CHADEMA...

Na hiyo ndiyo siasa. Na hizo ndizo characters halisi za wanasiasa...!!
 
Dr Slaa ungekaa tu kimya ili kulinda heshima yako ndogo iliyobakia..endelea kula mihogo na kachumbari taratibu
Hivi mfano, umegombana na jirani hamuongei kabisa alafu siku umevamiwa na majambazi akaja kutoa msaada utamkataza na kumwambia "acha unafiki jirani mbona umekuja kutoa msaada wakati hatuongei?"

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom