Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio.

Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo.

Msikilizeni Dr hapa chini.

Hivi bado ni balozi huyu?
Kumbe nj mnafiki kabisa! Siasa ni mchezo mchafu kabisa. Huwezi kufanikiwa kisiasa bila kucheza rafu kwa maneno au kwa matendo!!!
 
Kwanza Magufuli hakukataza iyo mikutano ya hadhara ila alibadilisha mfumo kuwa Kila mtu afanye sehemu yake ya Jimbo lakini hoja ya Dr. Ni kwamba kwa ngazi ya Rais lazima kuwepo na official document ya Hilo tamko ndo hata Rais mwingine anaweza kuliondoa Sasa wote wawili wametoa tamko la mdomo then who know kesho uyo Rais ataamua nn kama nchi haitakiwi kufurahia tu Kila jambo au kulaumu kwa Kila jambo huu ujinga kunasiku utatukosti sana
Umeandika Mambo ya msingi. Hakuna official documents iliyokataza mikutano ya hadhara. Kama ilikuwa inaweza kufanyika kila kitu kwa mdomo, uteuzi ungefanyika kwa mdomo
 
Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio.

Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo.

Msikilizeni Dr hapa chini.


Huyu mzee ameshakosa mwelekeo bora angekaa kimya kulinda heshima yake. Kipindi Magufuli akiwa hai mbona hakunyanyua mdomo wake na aliufyata hatimaye akapewa ulaji. Sikutegemea angekuwa mtu wa dizaini hii, hawa wazee ni aibu sasa watabaki kutukanwa na watoto wadogo.
 
Wanaompinga Dr. Slaa waoneshe official document kipindi cha Magufuli iliyosema katazo la mikutano ya siasa.
 
Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio.

Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo.

Msikilizeni Dr hapa chini.

Slaa amrudishie Magu zile pesa walizo mhonga ili akimbie Chadema. Shida yote hii iliyo tupata utawala wa Magu Slaa na Pengo hawawezi kukwepa lawama. Mingubata wahukumu sawasawa na matendo yao.
 
Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio.

Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo.

Msikilizeni Dr hapa chini.


Bado anatafuta uteuzi?

Hii nchi imekuwa ilivyo sasa kwa sababu ya watu kama huyu asiyejua kipi anakisimamia maishani mwake.


Kwa hiyo leo ndio amegundua ubatili wa hayo aliyoyafanya Magufuli; mbona hakuhoji alipokuwa anahongwa hongo ya ubalozi?
BTW: Huko ubalozini alifanya jambo lipi la manufaa kwa nchi aliyoiwakilisha kwa muda wote aliokuwa huko. Anaweza kutaja hata jambo moja tu?

Ninashangaa sana bado kuna watu wanampa 'relevance', hadi ya kuleta takataka zake hapa jukwaani.
 
Nafurahi Kumuona DR SLAA kurudi ulingoni,

CDM na vyama vingine na CCM hayupo mwenye capacity ya kujenga HOJA na kuzitetea wa level ya Dr Slaa.

Nashauri CDM waridhiane naye na kumrudisha chamani,

Mbatia akifanikiwa kurudi chamani na kufanikiwa kumkaribisha Dr Slaa na Covid 19, wataweza kupata majimbo kadhaa.
Huyo Slaa panapomfaa ni hukohuko aliko, loyalty kwanza huo upuuzi unaouita hoja ndiyo mambo ya kuwa na serpent kundini.
 
Dadadadeki...angekuwepo yule mwamba angepanua kende zake kuongea hayo?? Siasa bila unafiki sio siasa
 
Back
Top Bottom