Diva aomba michango kwa waja, ili alipe kodi ya nyumba

Diva aomba michango kwa waja, ili alipe kodi ya nyumba

Mdada maarufu, mwana mitandao na mtangazaji Diva the Bawse, aomba waja wamchangie pesa ili aweze kulipa kodi ya nyumba anayoishi, baada ya mmiliki wa nyumba hiyo kuja kumfanyia tukio la udhalilishaji kwa kuchelewa malipo.

Huyu bidada si alisema ana bwana ake mzungu? Wala hana shida ndogo ndogo hata WCB wasipo mlipa hela yake, yeye maisha yataenda km kawaida? Mara akaja na mibwato na mineno kuntu yeye pesa zipo na zinaingia kila siku kupitia products zake za urembo kutoka Diva Beauty, sasa imekuaje tena leo ashindwe kulipa kodi ya nyumba?

Afu sasa kodi inayotakiwa ni 10M, na hapo kachangiwa imefika 2M? kwanini anaishi maisha nje ya uwezo wake? Ndio shida ya kufake life, mwisho unaumbuka km hivi, Lol.

Haya Waja, Namba ndio hiyo, km una chochote kitu usisite kutupia hapo ili Diva wetu amalize deni la kodi yake.

Nacheka waja wanavyomchamba huko FB, woiiiih. 😂😂😂

 

Attachments

  • Screenshot_20260923-180818_Chrome.jpg
    Screenshot_20260923-180818_Chrome.jpg
    274.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20260923-180818_Chrome.jpg
    Screenshot_20260923-180818_Chrome.jpg
    294.7 KB · Views: 2
Average?

Average ni laki 3 hadi 5, Laki 8 ni hela kubwa sana. kwa kodi aisee, Hapo kipato chako hakipaswi kupungua walau 5M . WaTz wangapi wanaingiza 5M kwa mwezi?
Mnaishi kimara nyie, naongelea dar sehemu ambayo utakaa kwa kujinafasi bila bugdha hio 830k ni average kabisa. Na kwa mtu anaeishi dar average salary ni 2.4m ili usikwame kwame

sasa nyie mnaoishi mbagala, kimara, mbezi mwisho sijui, huko sio dar mjini, ni dar vijijini
 
Na Huyo malangi langi ni ya nini?

Kwa hiyo Mimi nayeishi chumba cha elfu 40 nimchangie anayeishi nyumba ya 10M

Kweli Tz kuwa maskini umetoka mwenyewe,🤣🤣

Acheni kutafuta kicki na kututoa kwenye mambo y msingi
 
Akishachangiwa ndiyo hatoomba tena ama atatafuta nyumba ya bei nafuu,

Kipindi anamchamba Abdul kuwa saa hz anaishi kwenye apartment na kubana pua juu....

Hiyo milion tatu aliyopata mbn Kuna sehemu angekuwa keshalipia miez kumi tyr

Maimatha wa J ndo kachangia au 🤔

Ili apate kuchukua umbea vzr,,

Haloo diva kipenzi.... Nasikia umefukuzwa kisa kodii ni kweli my wangu 😆
 
Akishachangiwa ndiyo hatoomba tena ama atatafuta nyumba ya bei nafuu,

Kipindi anamchamba Abdul kuwa saa hz anaishi kwenye apartment na kubana pua juu....

Hiyo milion tatu aliyopata mbn Kuna sehemu angekuwa keshalipia miez kumi tyr

Maimatha wa J ndo kachangia au 🤔

Ili apate kuchukua umbea vzr,,

Haloo diva kipenzi.... Nasikia umefukuzwa kisa kodii ni kweli my wangu 😆
Watu wanamchukulia Diva serious wakati diva dishi limeyumba kimtindo
 
Watu wanamchukulia Diva serious wakati diva dishi limeyumba kimtindo
Hakuna cha kimyindo hana hela hiyo, we hujamsoma? milioni kuni na Tano tu za wasafi kaliaaaaaa mpaka watu wakadhangaaa kwa mtu ka diva hio unapotezea tu ye kakomalia, ndo sasa najua kweli hana kitu, huwezi kuja kujidhalilisha hivo mtandaoni, na pesa unayo mkuu tunalia kimyakimya Hali mbaya
 
Back
Top Bottom