Diva aomba michango kwa waja, ili alipe kodi ya nyumba

Mdada maarufu, mwana mitandao na mtangazaji Diva the Bawse, aomba waja wamchangie pesa ili aweze kulipa kodi ya nyumba anayoishi, baada ya mmiliki wa nyumba hiyo kuja kumfanyia tukio la udhalilishaji kwa kuchelewa malipo.

Huyu bidada si alisema ana bwana ake mzungu? Wala hana shida ndogo ndogo hata WCB wasipo mlipa hela yake, yeye maisha yataenda km kawaida? Mara akaja na mibwato na mineno kuntu yeye pesa zipo na zinaingia kila siku kupitia products zake za urembo kutoka Diva Beauty, sasa imekuaje tena leo ashindwe kulipa kodi ya nyumba?

Afu sasa kodi inayotakiwa ni 10M, na hapo kachangiwa imefika 2M? kwanini anaishi maisha nje ya uwezo wake? Ndio shida ya kufake life, mwisho unaumbuka km hivi, Lol.

Haya Waja, Namba ndio hiyo, km una chochote kitu usisite kutupia hapo ili Diva wetu amalize deni la kodi yake.

Nacheka waja wanavyomchamba huko FB, woiiiih. 😂😂😂

Akapange foleni mbagala maji matitu kwa "wahaya"!
 
Nchi ina mazwazwa sana hii. Yaani one day mtu anasema anatumia 5m kwa siku, another day anaomba kuchangiwa kodi. This is the epitome of stupidity
Mtu tapeli kama Makonda anaweza kupewa uongozi na kazi yake ni kula bata kwa kusafiri na kukutana na watu mashuhuri (possibly kwa kuwalipa fedha nyingi bila kusahau madalali wa kati wanaofanikisha huo utapeli) ili apige picha na kumsifia Samia huku akinunua magari ya kifahari na kufanya uhalifu wa kila aina. Hii inaonyesha jinsi nchi ilivyo na wananchi wenye uelewa mdogo.
 
Hali ni ngumu siyo maskhara ujue....Ni vurugu tupu...
Mimi nilimiss umbea wenye udambwi dambwi namna hii bhana🤣
😂😂😂 umbea huu nimeshindwa kujizuia, nikaona wee niupeleke JF Diva akasaulwe, maana anavojionaga high class, tuliwahi chambana IG na akaniblock.
😂😂😂
 
Mdada maarufu, mwana mitandao na mtangazaji Diva the Bawse, aomba waja wamchangie pesa ili aweze kulipa kodi ya nyumba anayoishi, baada ya mmiliki wa nyumba hiyo kuja kumfanyia tukio la udhalilishaji kwa kuchelewa malipo.

Huyu bidada si alisema ana bwana ake mzungu? Wala hana shida ndogo ndogo hata WCB wasipo mlipa hela yake, yeye maisha yataenda km kawaida? Mara akaja na mibwato na mineno kuntu yeye pesa zipo na zinaingia kila siku kupitia products zake za urembo kutoka Diva Beauty, sasa imekuaje tena leo ashindwe kulipa kodi ya nyumba?

Afu sasa kodi inayotakiwa ni 10M, na hapo kachangiwa imefika 2M? kwanini anaishi maisha nje ya uwezo wake? Ndio shida ya kufake life, mwisho unaumbuka km hivi, Lol.

Haya Waja, Namba ndio hiyo, km una chochote kitu usisite kutupia hapo ili Diva wetu amalize deni la kodi yake.

Nacheka waja wanavyomchamba huko FB, woiiiih. 😂😂😂

ok. :1Head:
 
Mtu tapeli kama Makonda anaweza kupewa uongozi na kazi yake ni kula bata kwa kusafiri na kukutana na watu mashuhuri (possibly kwa kuwalipa fedha nyingi bila kusahau madalali wa kati wanaofanikisha huo utapeli) ili apige picha na kumsifia Samia huku akinunua magari ya kifahari na kufanya uhalifu wa kila aina. Hii inaonyesha jinsi nchi ilivyo na wananchi wenye uelewa mdogo.
Wananchi wa hii nchi wanachoweza ni kupinga Ushoga tu basi. Lol
 
Ila Diva ni mkavu huyu dada khaah, anajidalalia huko km winga mpya kariakoo.
😂😂😂
1790172557144.jpg
 
Back
Top Bottom