Diva aomba michango kwa waja, ili alipe kodi ya nyumba

Diva aomba michango kwa waja, ili alipe kodi ya nyumba

cocastic

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2019
Posts
119,770
Reaction score
195,740
Mdada maarufu, mwana mitandao na mtangazaji Diva the Bawse, aomba waja wamchangie pesa ili aweze kulipa kodi ya nyumba anayoishi, baada ya mmiliki wa nyumba hiyo kuja kumfanyia tukio la udhalilishaji kwa kuchelewa malipo.

Huyu bidada si alisema ana bwana ake mzungu? Wala hana shida ndogo ndogo hata WCB wasipo mlipa hela yake, yeye maisha yataenda km kawaida? Mara akaja na mibwato na mineno kuntu yeye pesa zipo na zinaingia kila siku kupitia products zake za urembo kutoka Diva Beauty, sasa imekuaje tena leo ashindwe kulipa kodi ya nyumba?

Afu sasa kodi inayotakiwa ni 10M, na hapo kachangiwa imefika 2M? kwanini anaishi maisha nje ya uwezo wake? Ndio shida ya kufake life, mwisho unaumbuka km hivi, Lol.

Haya Waja, Namba ndio hiyo, km una chochote kitu usisite kutupia hapo ili Diva wetu amalize deni la kodi yake.

Nacheka waja wanavyomchamba huko FB, woiiiih. 😂😂😂

Screenshot_20260923-140146_1.jpg
Screenshot_20260923-152536_1.jpg
Screenshot_20260923-152610_2.jpg

Mdada maarufu, mwana mitandao na mtangazaji Diva the Bawse, aomba waja wamchangie pesa ili aweze kulipa kodi ya nyumba anayoishi, baada ya mmiliki wa nyumba hiyo kuja kumfanyia tukio la udhalilishaji kwa kuchelewa malipo.

Huyu bidada si alisema ana bwana ake mzungu? Wala hana shida ndogo ndogo hata WCB wasipo mlipa hela yake, yeye maisha yataenda km kawaida? Mara akaja na mibwato na mineno kuntu yeye pesa zipo na zinaingia kila siku kupitia products zake za urembo kutoka Diva Beauty, sasa imekuaje tena leo ashindwe kulipa kodi ya nyumba?

Afu sasa kodi inayotakiwa ni 10M, na hapo kachangiwa imefika 2M? kwanini anaishi maisha nje ya uwezo wake? Ndio shida ya kufake life, mwisho unaumbuka km hivi, Lol.

Haya Waja, Namba ndio hiyo, km una chochote kitu usisite kutupia hapo ili Diva wetu amalize deni la kodi yake.

Nacheka waja wanavyomchamba huko FB, woiiiih. 😂😂😂View attachment 3676435View attachment 3676436View attachment 3676437
Anatafuta Mil 10 akalipe pango, Ambayo anategemea Washabiki zake wamchangie...Huyu si huwa amasema Babake ni Bilionea Malinzi?
 
Kwa umaarufu wa Diva saa hz angekuwa na miradi mizuri tuu ya maana Ila kutwa kubana pua
Afuge hata kuku , kitimoto, kilimo cha mboga mboga..

Mimi naukataa UMASKINI haki tena haya maisha sisi sio wanyonge kiivyo

Ana jidhalilisha

Ni Bora uombe pesa ya matibabu au ukipata majanga makubwa makubwa ila sio KODI YA NYUMBA MTU MWENYE JINA TOKA ALA ZA ROHO WAY BACK
 
Kuna wakati najiona Bora na kaelim kangu kadogo

Kuna watu hamnazo kichwani
1. Mtu unamiliki cm ya gharama wakati huna uhakika wa Kodi
2.kwa Nini ustoke huko milion kumi ukapange ya laki 5 .

Kufeki maisha kunawamilaza watu wengi sana

Watangazaji na wasanii mnafeki maisha sana

Kuna msaani wa kike alikuja tabora akaliwa kwa lk tatu na msanii mwenyewe kanyeshwa makonyagi ..

Kwa ushamba wangu nikajisemea hv huyu ndye frani anakunnywa makonyagi na kuliwa kwa lk 3?
 
Ila Diva 🤣🤣🤣🤣
Mashauzi yote yale Kodi kipengele ...kwamba blah blah...Bwana mzungu anamlipia....Shwaiiiin zake...

By the way nilimiss sana aina uandishi huu wa kimbea tangu afariki Gwiji letu Warumi(RIP)
hahahahahaha, Swahiba huyu best angu diva hamjamzoea tu? huyo job mate wangu wa zamani asiwaumize kichwa,hela yako nunua flying fish
 
Afuge hata kuku , kitimoto, kilimo cha mboga mboga..

Mimi naukataa UMASKINI haki tena haya maisha sisi sio wanyonge kiivyo

Ana jidhalilisha

Ni Bora uombe pesa ya matibabu au ukipata majanga makubwa makubwa ila sio KODI YA NYUMBA MTU MWENYE JINA TOKA ALA ZA ROHO WAY BACK
Kweli bruh...... Ishu za Kodi ina maana hata basic needs hawezi ku afford
 
Back
Top Bottom