Ahupuaʻa (pronounced [əhupuˈwɐʔə]) is a Hawaiian term for a large traditional socioeconomic, geologic, and climatic subdivision of land. It usually extends from the mountains to the sea and generally includes one or more complete watersheds and marine resources. The predominant traditional system in the eight high islands of the main Hawaiian Islands was based on the ahupuaʻa. Each ahupua‘a contained a cross section of island resources and they were managed within a complex social system associated with each area. The general belief is that each ahupua‘a met the needs of the local population, with excess for tribute and trade.
Kuna burudani nyingi sana, mimi leo ili iishe vyema nahitaji kuburudika na mziki laini nikiwa na maji baridiii kwenye kaupepo mwanana kando ya Ziwa
Mkuu wewe unahitaji burudani gani?
ARUSHA
Wasajili wa Hati Wasaidizi kutoka mikoa mbalimbali nchini wametakiwa kutumia mifumo ya kielektroniki ikiwemo e-Ardhi na e-Office katika utekelezaji wa majukumu yao ili kuongeza ufanisi, kuondoa urasimu na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.
Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa...
Angelelli Automobile ni kampuni kutoka Italia, linalotengeneza sana hyper car and supercars. Na sasa Wamewaletea Tipo 829.
Hivi vigari ni manual transmission, na vitakuja options tatu, zipo za 4-cylinders na V6, zikiwa na engine kuanzia 2.0 L hadi 3.2 L na zitatoa 420 HP hadi 500 HP, na...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni Kazi Ngumu Sana kupata Viongozi Aina ya Rais Samia kwa kila uchaguzi. Ni kazi sana tena sana kupata viongozi wenye misimamo,maono ,ndoto maarifa uzalendo utulivu umakini na uhodari wa kiuongozi kama alionao Rais Samia .
Ni ngumu sana kupata kwa haraka haraka viongozi...
Tanzania na nchi zingine za Afrika kama Nigeria zina mpango wa kuwa na GDP(Nominal) ya dola trilioni moja ifikapo mwaka 2050.
Nimeuliza super intelligence, ni umeme kiasi gani unatakiwa ili kulisha uchumi wa dola trilioni moja. Imesema kuwa range ni 35,000-130,000 MW installed kutegemea na...
Biashara ya vinywaji kwa jumla inaweza kuwa chanzo kizuri cha mapato, lakini mafanikio yake hayategemei kuwa na mtaji pekee. Yanahitaji uelewa wa soko, usimamizi mzuri wa fedha, mahusiano imara na wateja pamoja na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi ya kibiashara.
1. Chagua eneo lenye soko la...
Mbunge wa Kiharu, Ndindi Nyoro, ametoa kauli kufuatia taarifa ya Serikali kuhusu kuthibitishwa kwa kisa cha kwanza cha Ebola nchini Kenya.
Kauli hiyo imekuja baada ya Waziri wa Afya, Aden Duale, kuthibitisha kuwa mgonjwa huyo ni raia wa Kenya aliyekuwa akiishi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
MKUU WA WILAYA YA KISARAWE
KISARAWE – PWANI
YAH: TAARIFA NA OMBI LA KUPATIWA MSAADA KUHUSU KERO YA KELELE ZA MUZIKI KUTOKA KWA BAR ILIYO KATIKATI YA MAKAZI
Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya,
Hii ni mara ya pili nakuandikia hapa jamiiforums!
Ninakuandikia barua hii kwa heshima, na kwa mara ya pili...
Nyoka wana mfumo mkali sana wa kunusa (kupitia ulimi wao na kiungo kinachoitwa Jacobson's organ), hivyo huwa wanajiepusha na mimea yenye harufu kali au inayochoma.
Hapa kuna orodha ya mimea na maua ambayo nyoka hawayapendi:
Mkitza / Kitunguu Saumu (Garlic) na Kitunguu Maji: Mimea hii hutoa...
Samia Suluhu Hassan ameutaka Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), kuimarisha nafasi ya mabunge katika kushughulikia changamoto za dunia, akisema mvutano wa kisiasa na kijiografia, migogoro na kutokuwa na uhakika kiuchumi vinazidi kuhitaji ushirikiano wa kimataifa.
Ujumbe huo wa Samia ameutoa usiku...
Glasi iliyopinduliwa chini juu inanasa utupu unaoficha kile ulichopoteza nyumbani kwako
Unapojua kuwa kipo mahali fulani ndani ya nyumba lakini umetafuta kila kona na bado hakionekani, ni kwa sababu utupu wa nishati unaficha ulichopoteza. Utupu huo unaweza kunaswa chini ya glasi.
1.Chukua glasi...
Ndugu zangu Watanzania,
😄😄😄
Hayo Ni Maneno yametamkwa Na Mtumishi Wa Mungu Nabii na Mtume Boniface Mwamposa akisema Eti Mfanyabiashara Na Tajiri kutoka Nchini Zimbabwe CHIVAYO Eti alimpigia Simu wiki ile aliyefariki.
Eti alimpigia ili aje kwenye Mkesha wake . Lakini Eti Mwamposa alikataa kwa...
Siku za karibuni nilipata fursa yakutembelea makaburi walipolazwa baadhi ya Wapendwa wangu pale jijini Arusha.Miongoni mwa mabadiliko niliyokutana nayo ni pamoja na ongezeko kubwa la Makaburi na wengine ni Watu niliowahi kuwafahamu ila sikujua kama wameshatangulia mbele ya haki.
Katika pitapita...
1. Waliozungukwa na marafiki wengi ambaondoa zao zimevunjika au hawajaolewa, aina ya wale wanawake wa mjini ambao wapo huru sana na kupenda maisha ya starehe
2. Kama mkeo ni muumini wa makanisa ya kilokole na wachungaji wake ndio hawa wachumia tumbo na wacheza mazingaombwe, ishi nae kwa akili...
Siku za karibuni Kuna mfumuko mkubwa wa mada za kidini ukizifuatilia utagundua hazina mana yeyote zaidi ya kuchafuana na kubezana. Sisi ni wastaarabu hebu Kila mtu abaki na imani yake.
Kataa kujadili maswala ya dini. Dini yako hawezi kuleta chakula mezani zinduka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.