Diva aomba michango kwa waja, ili alipe kodi ya nyumba

Diva aomba michango kwa waja, ili alipe kodi ya nyumba

Akishachangiwa ndiyo hatoomba tena ama atatafuta nyumba ya bei nafuu,

Kipindi anamchamba Abdul kuwa saa hz anaishi kwenye apartment na kubana pua juu....

Hiyo milion tatu aliyopata mbn Kuna sehemu angekuwa keshalipia miez kumi tyr

Maimatha wa J ndo kachangia au 🤔

Ili apate kuchukua umbea vzr,,

Haloo diva kipenzi.... Nasikia umefukuzwa kisa kodii ni kweli my wangu 😆
😂😂😂 ila wewe, khaah
 
sio huyu dada ni mjinga tu ila mastaa wa bongo ni wachache sana wenye akili
rayvany kuna siku alikua anamtambia harmo eti nimepanga juu ghorofani sijui nalipa shingap bla bla
ujinga mtu

nina rafiki yangu nae maarufu mchundo ananitambiaga anapanga kwa milion na nusu kwa mwezi afu nyumba ina camera

alafu hana kiwanja.....mi nilioko huku ananiita nakaa shamba
Sasa kama unakaa shamba asikwambie 😂😂
 
Zamani kidogo huyo miss delulu aliwahi kupost anajenga ghorofa, baada ya muda akaomba watu wamchangie akafanye IVF, alipokea kichambo heavy akaanza kujiliza liza.... sema kuna wageni wengi wa mitandao wameletwa na hizi simu za mikopo
😂😂😂 wageni wa cm za mkopo watakavugaa dear. Wee haya, uwiiiih
 
sio huyu dada ni mjinga tu ila mastaa wa bongo ni wachache sana wenye akili
rayvany kuna siku alikua anamtambia harmo eti nimepanga juu ghorofani sijui nalipa shingap bla bla
ujinga mtu

nina rafiki yangu nae maarufu mchundo ananitambiaga anapanga kwa milion na nusu kwa mwezi afu nyumba ina camera

alafu hana kiwanja.....mi nilioko huku ananiita nakaa shamba
Wasanii hata usiwatilie maanani, ni wanafake life hatarii.
Woiiih
 
Kuna demu nilikua namlipia kodi madale 800k kwa mwezi juzi kati nasogezewa ubuyu kuwa namegewa aisee ngoja kodi iishe mwezi wa 11 nione atafanyeje
 
Kuna demu nilikua namlipia kodi madale 800k kwa mwezi juzi kati nasogezewa ubuyu kuwa namegewa aisee ngoja kodi iishe mwezi wa 11 nione atafanyeje
Hao walio kusogezea ubuyu ni waongo na wakuda achana nao, wanamuonea wivu huyo chick ako, Lol
 
Huyu ni mpuuzi kama wasanii wengine, full kujigamba, shida kidogo naomba msaada..............mazezeta yanamuendekeza na yatamchangia....majinga hayatokuja kuisha nchi hii
 
Anatafuta Mil 10 akalipe pango, Ambayo anategemea Washabiki zake wamchangie...Huyu si huwa amasema Babake ni Bilionea Malinzi?

Huwa nawambia wasanii wa bongo wengi wana act life. Huyu siku za nyuma aliweka mahari yake 500m, akaja olewa na mganga
 
Back
Top Bottom