Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,724
- 99,584
hahahahaha,labda sasa hvHumpati Diva kwa bei hiyo, anzia 500k hapo atakufikiria. Lol
😂😂😂
hahahahaha,labda sasa hvHumpati Diva kwa bei hiyo, anzia 500k hapo atakufikiria. Lol
😂😂😂
hahah! hiyo imekaa sema sijawi kuwa na stim nae. Jana nime mtumia message menina naona anajifanya hajaona, 😅mie diva hiyo 50k tutanunua vinywaji,ila nakula free ,ni sista du kwa wengine tu,kwangu hana huo ustaa
Hakujua kuwa kutegemea bwana bado ni shida tu?Mdada maarufu, mwana mitandao na mtangazaji Diva the Bawse, aomba waja wamchangie pesa ili aweze kulipa kodi ya nyumba anayoishi, baada ya mmiliki wa nyumba hiyo kuja kumfanyia tukio la udhalilishaji kwa kuchelewa malipo.
Huyu bidada si alisema ana bwana ake mzungu? Wala hana shida ndogo ndogo hata WCB wasipo mlipa hela yake, yeye maisha yataenda km kawaida? Mara akaja na mibwato na mineno kuntu yeye pesa zipo na zinaingia kila siku kupitia products zake za urembo kutoka Diva Beauty, sasa imekuaje tena leo ashindwe kulipa kodi ya nyumba?
Afu sasa kodi inayotakiwa ni 10M, na hapo kachangiwa imefika 2M? kwanini anaishi maisha nje ya uwezo wake? Ndio shida ya kufake life, mwisho unaumbuka km hivi, Lol.
Haya Waja, Namba ndio hiyo, km una chochote kitu usisite kutupia hapo ili Diva wetu amalize deni la kodi yake.
Nacheka waja wanavyomchamba huko FB, woiiiih. 😂😂😂
Siyo bank iliyochanga bhana, ni mtu katuma kutoka kwa account yake kwenye hiyo bankJamani Diva ana watu, hadi banks zinachangia, uwiiiih
😂😂😂View attachment 3676471View attachment 3676472View attachment 3676473
haha hela sio mkojo, kwamba ukiamua waenda tu kojoa .. lazima tubalanaishe kidogoWaja mna uchungu na pesa zenu, khaah
😂😂😂
Menina yuko mjini?hahah! hiyo imekaa sema sijawi kuwa na stim nae. Jana nime mtumia message menina naona anajifanya hajaona, 😅
hahahahahaha,GT wa JF alijua bank imemtumia,hahahahaSiyo bank iliyochanga bhana, ni mtu katuma kutoka kwa account yake kwenye hiyo bank
Kama Matonya vile , ....... ,......., hawa wasenge si ndio huwa wanajiita mabilionea ?Mdada maarufu, mwana mitandao na mtangazaji Diva the Bawse, aomba waja wamchangie pesa ili aweze kulipa kodi ya nyumba anayoishi, baada ya mmiliki wa nyumba hiyo kuja kumfanyia tukio la udhalilishaji kwa kuchelewa malipo.
Huyu bidada si alisema ana bwana ake mzungu? Wala hana shida ndogo ndogo hata WCB wasipo mlipa hela yake, yeye maisha yataenda km kawaida? Mara akaja na mibwato na mineno kuntu yeye pesa zipo na zinaingia kila siku kupitia products zake za urembo kutoka Diva Beauty, sasa imekuaje tena leo ashindwe kulipa kodi ya nyumba?
Afu sasa kodi inayotakiwa ni 10M, na hapo kachangiwa imefika 2M? kwanini anaishi maisha nje ya uwezo wake? Ndio shida ya kufake life, mwisho unaumbuka km hivi, Lol.
Haya Waja, Namba ndio hiyo, km una chochote kitu usisite kutupia hapo ili Diva wetu amalize deni la kodi yake.
Nacheka waja wanavyomchamba huko FB, woiiiih. 😂😂😂
Mzee wa Washington DC em toa chochote kitu kwa Diva wetu basi.Hakujua kuwa kutegemea bwana bado ni shida tu?
Zamani kuombaomba lilikuwa jambo la aibu sana, sasa hiyu anaombaomba nini?
Kashindwa hata kuuza mbunye?
Au ndiyo anafanya matangazo hivi?
Anaomba alipiwe Kodi Kiranga....Hakujua kuwa kutegemea bwana bado ni shida tu?
Zamani kuombaomba lilikuwa jambo la aibu sana, sasa hiyu anaombaomba nini?
Kashindwa hata kuuza mbunye?
Au ndiyo anafanya matangazo hivi?
sina hakika alipo, ila yupo live nataka . Leo nikisogea center nitapata ABC zoteMenina yuko mjini?
Ahamie nyumba anayoiweza, hiyo milioni mbili hakosi mjengo.Anaomba alipiwe Kodi Kiranga....
Kuuza anasema sasa hivi Biashara inamkata sana....wateja hawafiki bei na kitu yake ni ya Kitanga eti🤣
Da makie nakugawa bure wallah, leo umechachuka mno, kwanini lakinii?Anaomba alipiwe Kodi Kiranga....
Kuuza anasema sasa hivi Biashara inamkata sana....wateja hawafiki bei na kitu yake ni ya Kitanga eti🤣
hahaha! 500k mshahara wa baba mwenye familia na watoto, alafu iliwe short time.. sio haki lazima niwe naw masaa walau 12 au 16 kidogo nikate kiuNakugawa buree, 😂😂😂
Mkuu wajinga wajinga wengi na hawaishi, huyo anawajinga wengi tu anawajaza