Yule yuko uchi kitambo sana😄Mpaka hapo kashajivua nguo,
hahahahaha,Swahiba umeniuza ujue hapo juu?. kwenye Bold umenishtukiza ile asubuhi uliponiacha ndio umepoteza timing,hahahaha..Najua vyema ulimuacha pale mjengoni Mawingu...
Licha ya kununua hizo Flying fish....Sina hela za michezo hiyo Swahiba...hela zangu zinakaa mbali sana
Akapange vikindu huko hiyo Kodi kwa laki na 50 anakaa miakaaKweli bruh...... Ishu za Kodi ina maana hata basic needs hawezi ku afford
target yake wala sio nyie, anajua anachofanya huyo, hapo kuna mtu anapigwa zaidi ya 10mChecki anavoomba hela kimasihara masihara na Kuna wapuuzi wanatoa
Hao wote, kina Kitenge etc ni mapiga domo ya mjini na fedha zao nyingi ni za mchongo. Ila kuna hawa kina mimi wafuata mkumbo ndiyo nawaonea huruma.Naona wanachangia, kitenge katoa 500k,
😆😆😆 anahisi watanzania wanasahauYule yuko uchi kitambo sana😄
😅😅😅Nakurudia Swahiba....Ndugu yako nimebananishwa..hahahahaha,Swahiba umeniuza ujue hapo juu?. kwenye Bold umenishtukiza ile asubuhi uliponiacha ndio umepoteza timing,hahahaha..
hapo target sio nyie raia wakawaida kuna wadau wakiona hivyo wanamaliza fasta, ila anawatia presha kwanza ili watoe nyingi na kwa harakaHao wote, kina Kitenge etc ni mapiga domo ya mjini na fedha zao nyingi ni za mchongo. Ila kuna hawa kina mimi wafuata mkumbo ndiyo nawaonea huruma.
Nchi ina mazwazwa sana hii. Yaani one day mtu anasema anatumia 5m kwa siku, another day anaomba kuchangiwa kodi. This is the epitome of stupidityNa kuna mazuzu yanamchangia kweli au anajitekenya na kucheka mwenyewe!!?
Nachoka DA makie mwenzio, 😂😂😂Ila Diva 🤣🤣🤣🤣
Mashauzi yote yale Kodi kipengele ...kwamba blah blah...Bwana mzungu anamlipia....Shwaiiiin zake...
By the way nilimiss sana aina ya uandishi huu wa kimbea tangu afariki Gwiji letu Warumi(RIP)