Dilemma ya kumpenda mwanamke mwenye mtoto

Dilemma ya kumpenda mwanamke mwenye mtoto

Hii ni point kubwa.

Hilo swali yeye mwenyewe angetakiwa amuulize huyo dada nani atakuwa na wajibu wa kumlea huyo mtoto.
Jibu la binti litaonyesha future ya hiyo ndoa yao.

Binti lazima aseme wazi kwamba jukumu na wajibu wa kumtunza huyo mtoto ni la Baba mzazi na yeye(mwanamke) na sio la huyo mtoa mada.
Ingawake mtoa mada afanye kwa hiyari. Binti akisema hivi ninampa 20% ya mwanamke mzuri.

Lakini mambo ya kupenda boga sijui ua ni kuyafanya mapenzi kama Msalaba wa Yesu
Nimeshanganzwa sana et nitamlea huyo mtoto ni malaika
Umlee kama nani na mtoto ana baba ake
Je baba yake amemruhusu
Ndio maana mimi husema kama vipi saivi baba apewe mtoto wake alee kama ana mazingira mazuri
 
Single Maza mmoja nilimchombeza akaingia lakini, nilimtamami Sana Maana ni mzuri ajabu, ni wale wanawake wanajifanya High Class

Nikamuuliza jukum la kuwalea wanao sio langu, aisee aliichukia sana siku nzima hakuna salimia analalamika nilijua Tu Nyie watu wa Kaskazini mna Roho mbaya ndivyo mlivyo.

Nikamwambia kikakamavu kwa kuwa Baba wa Watoto Yupi hai na huko aliko anataguta pesa kama Mimi, siko tayari kulea watoto wake harafu yeye pesa zake anywe pombe na kuhonga mademu.

Akasema basi samahani, mpaka sasa nimeshamla mara matatu. Alituliza wenge.

Sasa kama ningeteteleka Tu kwa Kauli zake basi Leo hii ningekuwa nadaiwa Ada ya shule
 
Kama ulikuwa unapenda mathematics enz za secondary kumbuka kwenye solv equation kuna method inaitwa substitution, 😂
 
Jamaa yeye ameshakubali atalea Tu, kwa hiyo Hilo swali hajaliwazia kabisa
Cha ajabu anatetea balaa, afuate moyo wake, kenge ni mpaka atoke damu.

Kuna mama ni single mother lakini alimkatalia mwanae katu katu asioe mwanamke ambaye ana mtoto, hapo ndio unaweza kuelewa ukubwa wa tatizo
 
Nimeshanganzwa sana et nitamlea huyo mtoto ni malaika
Umlee kama nani na mtoto ana baba ake
Je baba yake amemruhusu
Ndio maana mimi husema kama vipi saivi baba apewe mtoto wake alee kama ana mazingira mazuri
Na wanawake kwenye point hii watakupinga, maana ni Sehemu ya kupata kipato.

Kuna dada alikuwa mkali alipoambiwa mtoto aende kwa Baba akasema siwezi kukaa mbali na mwanangu, lakini kila siku vizinga ooh mara anaumwa ooh anadaiwa hiki shule full usumbufu
 
Niko serious tena sana.
Ni binti mrembo sana, ni vitu vyangu kabisa na ninampenda kwa dhati ya moyo wangu wote. Niko radhi kwa lolote, ila shida ndo haya maneno ya walimwengu unajaribu kutafuta mawazo mazuri nijue na hukuwa risk gani katika maamuzi yangu
Kama unapresha na kisukari tafuta jimbo lingine ilo jimbo litakusumbua
 
Bro hata iweje kwenye maisha yako hakikisha usioe single mother!
Otherwise ushuhudie kaburi la huyo aliyemzalisha na pia upate ushahidi wa picha na video za msiba zinazoonyesha sura halisi ya huyo marehemu na ushahidi wa office ya serikali za mitaa kama kweli huyo mtu alikufa na kuzikwa hapo, na ikiwezekana mfukue uhakikishe hiyo mifupa inapimwa DNA kama kweli ni huyo mzazi mwenzie ndo alizikwa hapo!
Pia upate ushahidi wa documents za hospital zikiwa sambamba na cheti cha kifo na ushahidi wa madaktari kama kweli huyo jamaa ndo alikufa na kwa nini alikufa!!!
Tofauti na hapo jiandae hakuna rangi utaacha kuiona kwenye hiyo ndoa!
Mwanamke hawezi kusahau hawa wanaume wawili kwenye maisha yake:
1. Mwanaume aliyemtoa bikra
2. Mwanaume aliyemzalisha
Angalau anaweza kusahau kuhusu jamaa aliyemtoa bikra kama asipomuona kwa miaka mingi
Ila kuhusu jamaa aliyemzalisha ni ngumu mno kumsahau kila akikaangalia katoto tu kile kichwa anakafananisha na babake hapo hapo anaanza kummiss na hata kumtafuta kwa siri bila we kujua jamaa akiitaka anapelekewa anaichapa hata kama yuko mbali yule mtoto atawaunganisha tu!
Hii comment yako inatakiwa kupigwa Lamination ile ngumu ili kumbukumbu isije futika
 
Research?
Kuna any paper au tovuti inaelezea kuhusu madhara ya kuoa au kuwa kwenye mahusiano na single mama?

Au research hiyo itanipasa nitembelee sehemu gani ili niweze kupata data rasmi na majibu yaliyo fasaha?

Sijajua atakuwa wapi, ila I know mtoto atahitaji huduma pia, na nikisema hilo sio jukumu langu Nitakuwa na jizima data tu, labda kama Nita hakikisha huyo mzazi mwenza yupo na ana kipato kizuri hapo itanilazimu kumwita na kufanya mazungumzo naye juu ya mtoto wake asiye na hatia
Umeamua kujipa kazi ya kuweka mambo sawa, ukidhani ni rahisi. Uimara wa mahusiano yenu upo mikononi mwa mkeo mtarajiwa na mzazi mwenzie.
 
Ni kweli kiongozi ila Kuna muda unakutana na mtu, mpaka unasema nilikuwa wapi miaka yote hii? Yaani ana package yote ya Mwanamke wa ndoto zako,

Ila ndo hivyo sasa hakuna aliye mkamilifu. Nifanye njia gani ndugu ninampenda sana
Achana na single maza usisikilize ushauri wowote unaokwambia uoe single maza
 
Na wanawake kwenye point hii watakupinga, maana ni Sehemu ya kupata kipato.

Kuna dada alikuwa mkali alipoambiwa mtoto aende kwa Baba akasema siwezi kukaa mbali na mwanangu, lakini kila siku vizinga ooh mara anaumwa ooh anadaiwa hiki shule full usumbufu
Hakuna haja ya ujanja ujanja kama baba ana uwezo wa kulea watoto kwa mazingira mazuri apewe watoto

Muhimu mama ashirikishwe kila hatua katika malezi baasi
 
Kama aliyezaa naye yuko hai kwa Nini umwoe?hujui kwamba mkikosana kidogo anaweza kurefresh mind na aliyezaa naye?Halafu uanze kumtafuta bastola ya Nini haya!
 
Au sio, nenda tu Mkuu ila ipo siku huko mbeleni hata miaka 10 huko utakumbuka majina ya ID zote zilizokushauri katika huu uzi.

Kwa kifupi ukishakuwa nae karibu itafika mahala baba wa mtoto wake huwa anaibuka na kutaka kuwa nae karibu pia, ndugu za baba wa mme wake huibuka na kumsonga au kumjali zaidi kwa kumshirikisha mambo mbalimbali mazuri juu yake na mtoto wake, utasikia tunataka kumkatia mtoto Bima ya Afya, tunataka kumnunulia kiwanja kwa jina lake, tunataka kufanya hiki na kile hapo ndio utaanza kuona anaanza kuwaelewa na kubadilika na ww utaona husikilizwi tayari mgogoro.

Nimewah kuwa na singo maza na mtoto wake bahati nzuri alikuwa kwa mama wa baba walie zaa nae,

Gues what walipohisi ana mtu, huyo mama mkwe akipiga simu ni maongezi ya masaa 2, kule mtoto kila dakika wanajaza vocha kwenye simu na kumlazimisha aongee na mama yake.

Yani akinywa chai simu, akimeza chai simu, akivaa nguo simu, akicheka simu, akitoka na wenzie simu simu simu simu simu simu...

Wakimaliza baba mtu ulieambiwa walikosana nae anaanza nae, akiblokiwa huku anaibukia kule na akiibuka anamwambia nataka tujadili hatma ya mtoto..😀😀😀😀😀😀
Ikawaje sasa malizia stori😀
 
Bro hata iweje kwenye maisha yako hakikisha usioe single mother!
Otherwise ushuhudie kaburi la huyo aliyemzalisha na pia upate ushahidi wa picha na video za msiba zinazoonyesha sura halisi ya huyo marehemu na ushahidi wa office ya serikali za mitaa kama kweli huyo mtu alikufa na kuzikwa hapo, na ikiwezekana mfukue uhakikishe hiyo mifupa inapimwa DNA kama kweli ni huyo mzazi mwenzie ndo alizikwa hapo!
Pia upate ushahidi wa documents za hospital zikiwa sambamba na cheti cha kifo na ushahidi wa madaktari kama kweli huyo jamaa ndo alikufa na kwa nini alikufa!!!
Tofauti na hapo jiandae hakuna rangi utaacha kuiona kwenye hiyo ndoa!
Mwanamke hawezi kusahau hawa wanaume wawili kwenye maisha yake:
1. Mwanaume aliyemtoa bikra
2. Mwanaume aliyemzalisha
Angalau anaweza kusahau kuhusu jamaa aliyemtoa bikra kama asipomuona kwa miaka mingi
Ila kuhusu jamaa aliyemzalisha ni ngumu mno kumsahau kila akikaangalia katoto tu kile kichwa anakafananisha na babake hapo hapo anaanza kummiss na hata kumtafuta kwa siri bila we kujua jamaa akiitaka anapelekewa anaichapa hata kama yuko mbali yule mtoto atawaunganisha tu!
Aisee
na ikiwezekana mfukue uhakikishe hiyo mifupa inapimwa DNA kama kweli ni huyo mzazi mwenzie ndo alizikwa hapo!
Kwamba 🤣🤣🤣
 
Stage aliyofikia mtoa mada ni sawa na ile stage ya mtu kukaribia kutapeliwa, hakuna ushauri wowote mtakaoutoa ili kumlinda mtu huyu 😂
Aisee ni kipi kilikukumba mpaka kafikia katika mawazo haya ndugu mdau?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom