Dilemma ya kumpenda mwanamke mwenye mtoto

Dilemma ya kumpenda mwanamke mwenye mtoto

Stepping into a family? ( what if she never got married but found herself bearing unnecessary pregnancy?) and. What if she doesn't have any interest to that specific partner?

Is it true, that marrying a single woman is joining a family? Are you trying to say that a woman's value is dependent on a number of people she's had children with, and that she only deserves one husband and that's it?

Anyways, thanks for your contribution. I'll think about it
Re-read my last sentence

''The is just a piece of advice,the rest is up to you''
 
Mkuu kama umempenda mlee tu yy na mwanae ..lakini kaa ukijua hakuna TUZO tutakupa ya kulea mtoto wa mtu na mke wa mtu ..

Na siku akiitajika kwa mzazi mwenzake usisite kumpa ruhusu mtt kwenda kumzika bibi au babu yake mzaa baba..
Sihitaji tuzo mkuu, ila Ningelipenda kutokuwa chanzo cha mateso kwa kiumbe kisicho na hata yoyote.

Haina shida kuhusu hilo endapo mzazi mwenza hata kuwa na ukaribu huo na mke wangu sito ona shida yoyote mwanae kushiriki matatizo ya kifamilia, na mimi Nitakuwa na mke wangu siwezi wacha aende peke yake
 
Ila single mother wengi ni vichomi,but wapo ambao watulivu namanisha wameachana na wazazi wenza bila kuwa na ukaribu,lakini ni asilimia chache mno,ushauri wangu fata moyo wako unavyoona inafaa.

Lakini tahadhari ni muhimu kwasababu anaweza kubadilika muda wowote,changamoto ninayoiona kwa single mother ni pale baba mtoto anapomtafuta,ndo tatizo linapoanzia,unaweza kumfanyia kila kitu lakn badae akazingu kila la heri.
 
Mwanzoni utasema jamani Mwanamke si ndio huyu? Nilikuwa wapi mimi.

Mkuu niseme ukweli niache utani, Single maza sio wote wabaya, lakini hakikisha unaongea naye Mada ngumu Maana na yeye asije akawa anakupenda kwa hisia Tu ambapo baadaye mtakosna na itakuwa Chanzo cha ugomvi

Mad ngumu ni zipi? Historia ni Muhimu Sana Maana unayofanya Leo ndio hatuna yako ya kesho, aloyofanya zamani yanadefine maisha yake ya Leo, usisikilize wajinga wanaosema forget the past.

1. Kwanini alizaa kabla y Ndoa
2. Kwanini waliachana na Mume wa Mwanzo
3. Mume wa Mwanzo Yuko wapi na nfnu nini?
4. Umweleze kabisa kinaga ubaga kuwa hakuna Mwanaume anatelekeza Mtoto maisha Yote au Mtoto ataacha kumtafuta baba yake

5. Mwambie kwa uswazi huyo Mtoto sio wako, Mamlaka yoote yako kwa Baba Yake na ukoo wao, asikubeshe majukumu yasiyo yako, Maana naona ameshakuingiza kwenye mfumo wake
6. Mwambie Mimi siko tayari kulea Mtoto ambaye ana Baba Yake, Mimi nihenyeke usiku na mchana kuuguza mtoto, kusomesha, kulisha wakati Baba yake mfanya kazi hela Anafanya kulewa, kuhonga na kutombea wanawake wengine? Wewe utakuwa ni Zuzu.
7. Kabla ya kukubaliana kuona wekeni Mipaka ya mawasiliano, Mume mwenzako na yeye na Mtoto, hap Mwanzo atakwambia Hana mawasiliano na hajui alipo, ni uongo mkubwa sana n inaonesha bado kuna mambo anakuficha
Daah ushauri mzuri sana kazi kwake.
 
Usiyumbishwe na maneno ya mitaani kaka. Umempenda na unaona kabisa anakidhi vigezo vyako unanzaje kuuliza watu kaka?

Kuna ma single mother wengi sana wameachana na wazazi wenzao mazima na wameanzisha familia zenye afya sana na wanaume wengine

Hivi kuna hao wasio na watoto wangapi ambao wameolewa na wamekuwa vichomi balaaa kwenye ndoa zao?
Huu ushauri ni mzuri ila nakushauri usiufate.
 
Mwanzoni utasema jamani Mwanamke si ndio huyu? Nilikuwa wapi mimi.

Mkuu niseme ukweli niache utani, Single maza sio wote wabaya, lakini hakikisha unaongea naye Mada ngumu Maana na yeye asije akawa anakupenda kwa hisia Tu ambapo baadaye mtakosna na itakuwa Chanzo cha ugomvi

Mad ngumu ni zipi? Historia ni Muhimu Sana Maana unayofanya Leo ndio hatuna yako ya kesho, aloyofanya zamani yanadefine maisha yake ya Leo, usisikilize wajinga wanaosema forget the past.

1. Kwanini alizaa kabla y Ndoa
2. Kwanini waliachana na Mume wa Mwanzo
3. Mume wa Mwanzo Yuko wapi na nfnu nini?
4. Umweleze kabisa kinaga ubaga kuwa hakuna Mwanaume anatelekeza Mtoto maisha Yote au Mtoto ataacha kumtafuta baba yake

5. Mwambie kwa uswazi huyo Mtoto sio wako, Mamlaka yoote yako kwa Baba Yake na ukoo wao, asikubeshe majukumu yasiyo yako, Maana naona ameshakuingiza kwenye mfumo wake
6. Mwambie Mimi siko tayari kulea Mtoto ambaye ana Baba Yake, Mimi nihenyeke usiku na mchana kuuguza mtoto, kusomesha, kulisha wakati Baba yake mfanya kazi hela Anafanya kulewa, kuhonga na kutombea wanawake wengine? Wewe utakuwa ni Zuzu.
7. Kabla ya kukubaliana kuona wekeni Mipaka ya mawasiliano, Mume mwenzako na yeye na Mtoto, hap Mwanzo atakwambia Hana mawasiliano na hajui alipo, ni uongo mkubwa sana n inaonesha bado kuna mambo anakuficha
Mkuu hii comment ninai copy kama ilivyo naomba ruhusa nitumie tafadhali.
Mwambie Mimi siko tayari kulea Mtoto ambaye ana Baba Yake, Mimi nihenyeke usiku na mchana kuuguza mtoto, kusomesha, kulisha wakati Baba yake mfanya kazi hela Anafanya kulewa, kuhonga na kutombea wanawake wengine? Wewe utakuwa ni Zuzu.
Aisee mbona ni hatari na kasheshe! 😂

Kwa kweli inaumiza sana, ila penzi nalo likikolea huwa tuna fanya kusahau hizi hoja ngumu Kumeza.

Asante sana mkuu.
 
Nimegundua wewe tayari una maamuzi yako, umekuja hapa ili tukuunge mkono tu na si kupata ushauri

Anyway, kila la kheri siku moja utatukumbuka. Si hisia zimekuzidia baba, ngoja zikate uanze kuona rangi halisi
 
Kwa jinsi unavyojibu comment za watu naona hii ni chai ya asubuhi .
Umeamua kwenda na trend
Niko serious tena sana.
Ni binti mrembo sana, ni vitu vyangu kabisa na ninampenda kwa dhati ya moyo wangu wote. Niko radhi kwa lolote, ila shida ndo haya maneno ya walimwengu unajaribu kutafuta mawazo mazuri nijue na hukuwa risk gani katika maamuzi yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom