Huyu ni wakuchapa bakora kwanza kabla ya kumshauri nini afanye....Classmate tumuambie au tumuache kwanza?
Acha uwongo.! Kama hatoonyeshwa kaburi la mwenza apite kwahivi mapema tuUsiyumbishwe na maneno ya mitaani kaka. Umempenda na unaona kabisa anakidhi vigezo vyako unanzaje kuuliza watu kaka?
Kuna ma single mother wengi sana wameachana na wazazi wenzao mazima na wameanzisha familia zenye afya sana na wanaume wengine
Hivi kuna hao wasio na watoto wangapi ambao wameolewa na wamekuwa vichomi balaaa kwenye ndoa zao?
Ila ukihalalisha tu umeishatena anakuwa muongo zaidi ya mwanasiasa
Hao wanapenda kujifunza kwa majutoKuna watu wanaupeo mdogo sana.
Hawajifunzi hata kwa wanasiasa
Kumbe washenzi ni nyie nyie mnao tafuta viporo?Kwa uzoefu wangu mwanamke akipata mume mwingine ni vigumu sana kumtafuta ex wake hasa kama mahitaji yote anapata
Wenye shida ni sisi wanaume tukimiss Yale manjonjo Yao lazima tuwatafute na ukimtafuta anaweza kuonesha kukataa mara ya kwanza ila ukiweka mkazo kidogo anajaa
Hahhahah, jana bwana nikamkumbusha ka-tour kadogo tu ambako tuliinjoy kinoumah alitamani kuchomoka muda huo huo hahahahaha sema mwamba kaoa alafu kanisogezea nilipo uyu jamaa ananitaftia tu lawama bila sababu
Sio wote ila asilimia kubwa wapo na tabia hizoNa shubamiti anaweza pretend hivi hata kwa miaka mingi, oa weka ndani, hakuna rangi utaacha ona, sio wote lakini
Mshenzi ni wewe unaeoa kiporo changuKumbe washenzi ni nyie nyie mnao tafuta viporo?
Ndo maana nikasema kuoa single mama kama yuko makini na anajua thamani yake, kuliko kuwa traumatized nayo ni sawa tu. Maana kuzalishwa sio kigezo cha kuwa kichecheMke wa Kweka hakuwa single maza, huko kwao ni majirani na walifahamiana tangu utotoni kwahiyo sababu zenu hazina mashiko,
By the way wanawake mliowaua week hii hakuna single mom yoyote hebu fanyeni kuwatua
Aisee, kwani hakuna njia nyingine ya kusawazisha hizi worst case scenariosTokea mwanzo wa Dunia hakuna suluhu ya hilo jambo tofauti na kujivua gamba na kutafuta mwanamke asie na mtoto.
Kwa sababu mwanzoni atakuwa anakuunga mkono anawalaumu pia ila kadri siku zinavyo enda hasa hutumika kipengele cha mtoto anaumwa au kapata tatizo fulani, lazima mama wa mtoto aende maana huyo ni mwanae ana uchungu nae pia, akienda lazima akutane na baba wa mtoto na mashangazi na mawifi. Atashauriwa sanaaa hata kama ana moyo wa chuma lazima yamuingie.
Akirudi mnaanza kugombana nyie kwa nyie na atakuambia live una roho mbaya unachukia mtoto wake, atakuambia una wivu sana, atakuambia baba wa mtoto wake kabadilika kawa mwema kwa sasa.
Anyway niishie hapo utajua mwenyewe bwana
Kukaa kinyonge nayo ni ujinga sana.Single Maza mmoja nilimchombeza akaingia lakini, nilimtamami Sana Maana ni mzuri ajabu, ni wale wanawake wanajifanya High Class
Nikamuuliza jukum la kuwalea wanao sio langu, aisee aliichukia sana siku nzima hakuna salimia analalamika nilijua Tu Nyie watu wa Kaskazini mna Roho mbaya ndivyo mlivyo.
Nikamwambia kikakamavu kwa kuwa Baba wa Watoto Yupi hai na huko aliko anataguta pesa kama Mimi, siko tayari kulea watoto wake harafu yeye pesa zake anywe pombe na kuhonga mademu.
Akasema basi samahani, mpaka sasa nimeshamla mara matatu. Alituliza wenge.
Sasa kama ningeteteleka Tu kwa Kauli zake basi Leo hii ningekuwa nadaiwa Ada ya shule
Wakifanya Wana Roho nzuri sana, na wanawake Wanajua vizuri kutumia hii fursaKukaa kinyonge nayo ni ujinga sana.
Kuna wazembe wanabebeshwa misalaba ya wahuni wengine