Dilemma ya kumpenda mwanamke mwenye mtoto

Wanabodi..

Ni heri mmeamka salama kwenda kuyakabiri majukumu ya siku hii ya leo.

Ningelipenda kuwasumbua kidogo. Je hii ni sawa au nataka kuingia kwenye mtego?

Kuna binti nimetokea kumpenda sana, ila bahati mbaya ama nzuri tayari ana mtoto Au amezaa na mtu mwingine.

Binafsi nimependezwa naye katika kila angle, na niko radhi kulea mtoto wake na kumpenda maana ukipenda boga huna obligation ya kulipenda pia uwa lake.

Naona kabisa yeye kuwa na mwanae sio tatizo kwangu, ila nimekuwa Niki Sikia kuwa kupenda singo mama ni kujichimbia kaburi mapema, ila mbona anaheshima, ni mstaarabu ana utii na mwerevu?

Je, eti kisa watu wanasema kuwa single mama ni vichomi na mimi niache mtu ni naye mpenda kwa dhati?

Je, niko delusional ama ni ufwate moyo wangu? Na wenye experience Naombeni uzoefu ndugu zangu.

Asanteni.
Hata mm niliwaza kama hv unavyowaza wewe, na mwanamke nae alikuwa ana heshima kama huyo wako.

Ila kilipokuja kunilamba, nikasema hiiiiiiiiiii 🙌

Ww ingia huko, then utajionea mwnyw sababu ya wengi kuwakataa hao single mother.
 
Wanabodi..

Ni heri mmeamka salama kwenda kuyakabiri majukumu ya siku hii ya leo.

Ningelipenda kuwasumbua kidogo. Je hii ni sawa au nataka kuingia kwenye mtego?

Kuna binti nimetokea kumpenda sana, ila bahati mbaya ama nzuri tayari ana mtoto Au amezaa na mtu mwingine.

Binafsi nimependezwa naye katika kila angle, na niko radhi kulea mtoto wake na kumpenda maana ukipenda boga huna obligation ya kulipenda pia uwa lake.

Naona kabisa yeye kuwa na mwanae sio tatizo kwangu, ila nimekuwa Niki Sikia kuwa kupenda singo mama ni kujichimbia kaburi mapema, ila mbona anaheshima, ni mstaarabu ana utii na mwerevu?

Je, eti kisa watu wanasema kuwa single mama ni vichomi na mimi niache mtu ni naye mpenda kwa dhati?

Je, niko delusional ama ni ufwate moyo wangu? Na wenye experience Naombeni uzoefu ndugu zangu.

Asanteni.
Oa tuu, hayo ni maisha yako unatuhusisha ya nini?
Kizuri kula na wenzio.
 
Bro hata iweje kwenye maisha yako hakikisha usioe single mother!
Otherwise ushuhudie kaburi la huyo aliyemzalisha na pia upate ushahidi wa picha na video za msiba zinazoonyesha sura halisi ya huyo marehemu na ushahidi wa office ya serikali za mitaa kama kweli huyo mtu alikufa na kuzikwa hapo, na ikiwezekana mfukue uhakikishe hiyo mifupa inapimwa DNA kama kweli ni huyo mzazi mwenzie ndo alizikwa hapo!
Pia upate ushahidi wa documents za hospital zikiwa sambamba na cheti cha kifo na ushahidi wa madaktari kama kweli huyo jamaa ndo alikufa na kwa nini alikufa!!!
Tofauti na hapo jiandae hakuna rangi utaacha kuiona kwenye hiyo ndoa!
Mwanamke hawezi kusahau hawa wanaume wawili kwenye maisha yake:
1. Mwanaume aliyemtoa bikra
2. Mwanaume aliyemzalisha
Angalau anaweza kusahau kuhusu jamaa aliyemtoa bikra kama asipomuona kwa miaka mingi
Ila kuhusu jamaa aliyemzalisha ni ngumu mno kumsahau kila akikaangalia katoto tu kile kichwa anakafananisha na babake hapo hapo anaanza kummiss na hata kumtafuta kwa siri bila we kujua jamaa akiitaka anapelekewa anaichapa hata kama yuko mbali yule mtoto atawaunganisha tu!
 
Duh aisee sasa mbona sasa amemtelekeza mwanamke mrembo namna hii? Yaani alivyo pisi nimwache kabisa mimi?
Hapana ndugu yangu eti kisa watu wanasema ni amezalishwa, je ni kwanini huyo aliye mzakisha kamwacha aende zake?
Subiri umuoe ndo utajua sababu ya hayo yote unayojiuliza hapo.
 
So you mean, utajua je kuwa huyu ni single mama kwa kwenda kila Kaya na kuanza kuulizia?

Twende kwa fact, unaposema kufanya research means that lazima uwe na methodology inayo eleweka kuweza kupata matokeo na statistic zinazo eleweka sio kusema unafanya research bila mpangikio

Ewe ndugu mdau Kanye west ndo nini? 😂

Haya nieleweshe maana sioni kibaya nilicho andika, badala ya kunipa vibweka naomba nieleweshe namna iliyo bora ya kuweza kuhimili swala hili kubwa lililo mbele yangu!
Kwamba wewe ndio umeokoka kiasi hiki 😍 🤣anyway naendelea kukupa muda

Kwenye mada nitarudi baadae kidogo
 
Wanabodi..

Ni heri mmeamka salama kwenda kuyakabiri majukumu ya siku hii ya leo.

Ningelipenda kuwasumbua kidogo. Je hii ni sawa au nataka kuingia kwenye mtego?

Kuna binti nimetokea kumpenda sana, ila bahati mbaya ama nzuri tayari ana mtoto Au amezaa na mtu mwingine.

Binafsi nimependezwa naye katika kila angle, na niko radhi kulea mtoto wake na kumpenda maana ukipenda boga huna obligation ya kulipenda pia uwa lake.

Naona kabisa yeye kuwa na mwanae sio tatizo kwangu, ila nimekuwa Niki Sikia kuwa kupenda singo mama ni kujichimbia kaburi mapema, ila mbona anaheshima, ni mstaarabu ana utii na mwerevu?

Je, eti kisa watu wanasema kuwa single mama ni vichomi na mimi niache mtu ni naye mpenda kwa dhati?

Je, niko delusional ama ni ufwate moyo wangu? Na wenye experience Naombeni uzoefu ndugu zangu.

Asanteni.
Mapenzi hayana kanuni, yaendee jinsi yalivyokujia, walioolewa bila watoto ndio hao wameuawa kwa risasi.
 
mkuu na uyakumbuke maneno yangu mausiano ya kimapenzi na sigle mother ni kwa ajiri ya kujiburudisha tu na si vinginevyo kama endapo utakaidi maneno yangu basi kuna siku nyingine utakuja kushusha nyuzi nyingine ya maumivu makali mno na mimi nitakuombea dua tu
Imagine hadi roboti la "Kwa kweli sisi zetu ni dua tu" kwa kila uzi hapa JF nalo leo limeshauri negative kuhusu single mothers 😄
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Wanabodi..

Ni heri mmeamka salama kwenda kuyakabiri majukumu ya siku hii ya leo.

Ningelipenda kuwasumbua kidogo. Je hii ni sawa au nataka kuingia kwenye mtego?

Kuna binti nimetokea kumpenda sana, ila bahati mbaya ama nzuri tayari ana mtoto Au amezaa na mtu mwingine.

Binafsi nimependezwa naye katika kila angle, na niko radhi kulea mtoto wake na kumpenda maana ukipenda boga huna obligation ya kulipenda pia uwa lake.

Naona kabisa yeye kuwa na mwanae sio tatizo kwangu, ila nimekuwa Niki Sikia kuwa kupenda singo mama ni kujichimbia kaburi mapema, ila mbona anaheshima, ni mstaarabu ana utii na mwerevu?

Je, eti kisa watu wanasema kuwa single mama ni vichomi na mimi niache mtu ni naye mpenda kwa dhati?

Je, niko delusional ama ni ufwate moyo wangu? Na wenye experience Naombeni uzoefu ndugu zangu.

Asanteni.
Tafuta ambaye hana mtoto kama unataka uwe na amani katika maisha yako ya baadaye,hawa watu mwanzoni wanakuwa wema sana lakini mwishoe hubadilika,ni heri akubadilikie yule ulieanza naye mwenyewe kuliko hawa waliozaa tayari,majuto yake ni mabaya,utakumbuka nguvu,upendo,resourses,pesa na mali zako zote ulizojitolea kwake na mtoto wake lakini hazitarudi,kibaya zaidi hatakumbuka kwamba uliamua kumuheshimisha...
 
Aghaghagha🤣🤣🤣

Kwamba kapata jimbo jipya na wanasubiri azoee mazingira ili aje umchape kiporo? Aisee mbona hawana huruma hawa viumbe?
Mnyang'anye simu nakwambia huyo mwenye mbususu yake akimmiss lazima amtafute na hana ubavu wa kumkatalia unajua kala vingapi huko alikotoka
 
Hata kama mama ako aliolewa akiwa single mother, ukimwambia h ishu lazima akuambie uachane nayo fanya ishu zngn
 
Jana kuna wangu namuuliza kwahiyo kwakuwa umeolewa ndio unanikaushia akanijibu "ngoja nizoee mazingira nitakutafuta"

Ushauri wangu ukimuoa mpeleke mbali na mnyang'anye simu kwa miaka 10 ndio umnunulie ingine pia akienda kwao nenda nae
Je single mother akiwa na laini nyingine usiyoijua na kutumia simu ya jirani kuwasiliana na baba watoto?
Ke si kama watoto, ni vinyonga wanaoweza kubadilika muda wowote.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Research?
Kuna any paper au tovuti inaelezea kuhusu madhara ya kuoa au kuwa kwenye mahusiano na single mama?

Au research hiyo itanipasa nitembelee sehemu gani ili niweze kupata data rasmi na majibu yaliyo fasaha?

Sijajua atakuwa wapi, ila I know mtoto atahitaji huduma pia, na nikisema hilo sio jukumu langu Nitakuwa na jizima data tu, labda kama Nita hakikisha huyo mzazi mwenza yupo na ana kipato kizuri hapo itanilazimu kumwita na kufanya mazungumzo naye juu ya mtoto wake asiye na hatia
Huna haja ya paper wala tovuti... NI ishu ya muda Tu😀 utaona ulimwengu na rangi zake
 
hili swali nimemuuliza ChatGPT akacheka 😅
Bila shaka chatgpt hajawahi kupigwa tukio ndio maana sababu zake zimekaa kimaandazi tuu 😂

Screenshot_20261008-090502.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom