ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 1,383
- 2,591
Hata gwaride huanza na mwendo wa pole, kisha guzi mtoto, baadaye mguu wa shingo mguu wa roho huku silaha imeangushwa chini, umeweka jet vizuri huku unakata macho kulia.
Tena KIMBIA SANA utakuja kunishukuruNikimbie kwa nguvu zoote🤣 aisee
Muache akaze Fuvu tuko pale😅ACHANA NAE HUYO NI MKE WA WA MTU
NB:TAFUTA MKE WAKO
Wewe jichanganye tu , mimi nasubilia uzi .Wanabodi..
Ni heri mmeamka salama kwenda kuyakabiri majukumu ya siku hii ya leo.
Ningelipenda kuwasumbua kidogo. Je hii ni sawa au nataka kuingia kwenye mtego?
Kuna binti nimetokea kumpenda sana, ila bahati mbaya ama nzuri tayari ana mtoto Au amezaa na mtu mwingine.
Binafsi nimependezwa naye katika kila angle, na niko radhi kulea mtoto wake na kumpenda maana ukipenda boga huna obligation ya kulipenda pia uwa lake.
Naona kabisa yeye kuwa na mwanae sio tatizo kwangu, ila nimekuwa Niki Sikia kuwa kupenda singo mama ni kujichimbia kaburi mapema, ila mbona anaheshima, ni mstaarabu ana utii na mwerevu?
Je, eti kisa watu wanasema kuwa single mama ni vichomi na mimi niache mtu ni naye mpenda kwa dhati?
Je, niko delusional ama ni ufwate moyo wangu? Na wenye experience Naombeni uzoefu ndugu zangu.
Asanteni.
😂😂😂😂😂Kama unataka kuwa philosopher muoe
Oa single mother ndiyo utajua Uphilosopher unakujajeU philosopher umeingiaje katika swala hili mkuu?
Shida zote za nini mkuu? Usioe single mother basiHakikisha unajua alipo baba wa mtoto, na ukishamfahamu hakikishq unakaa mbali na huyo mwanamke. Na akikuambia amefariki, akuonyeshe kaburi lake na ufanye vipimo vya DNA na UKAE MBALI NA HUYO MWANAMKE.
Sawa sawa mkuuKuna jambo huliewi, mwanamke anapozaa na mwanaume tayari kuna damu zimeungana na hilo agano ambalo hudumu muda wote, ndio maana sio rahisi kwa mwanamke kumsahau mwanaume aliyezaa naye hata kama kuna ugomvi mkubwa wa kutoana roho, kusahau ni ngumu.
Katika mazingira hayo ya kutosahau mwanamke hujikuta anakuwa mrahisi pale mzazi mwenzake anamhitaji ndipo mgogoro unapoanza, ndio maana inashauriwa Mwanamke aolewe na aliyemzalisha au Lah asikimbilie kuzaa haraka kama hana uhakika na huyo mwanaume.
Ndio maana wajumbe wamekushauri kuwa fuata moyo wako
Egoism kwenye mapenzi ni kujitesa tu pia.Hii ni point kubwa.
Hilo swali yeye mwenyewe angetakiwa amuulize huyo dada nani atakuwa na wajibu wa kumlea huyo mtoto.
Jibu la binti litaonyesha future ya hiyo ndoa yao.
Binti lazima aseme wazi kwamba jukumu na wajibu wa kumtunza huyo mtoto ni la Baba mzazi na yeye(mwanamke) na sio la huyo mtoa mada.
Ingawake mtoa mada afanye kwa hiyari. Binti akisema hivi ninampa 20% ya mwanamke mzuri.
Lakini mambo ya kupenda boga sijui ua ni kuyafanya mapenzi kama Msalaba wa Yesu
Last Nail In CoffinACHANA NAE HUYO NI MKE WA WA MTU
NB:TAFUTA MKE WAKO
Aliyemzalisha Yupo Hai Ama KafaMke wa mtu?? Ukiwa na maana gani na yeye yuko single?
Amezama Kwenye MfumoHakuna jambo gumu kama kumshauri mtu aliyeko kwenye mapenzi au anayekaribia kutapeliwa
Mwenye Kupenda HaoniShida zote za nini mkuu? Usioe single mother basi