MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,079
- 43,467
Huku ukubwani kila mtu yuko bize. Na pia hatukuwa na ukaribu sana. Mara ya mwisho kuonana na Nikki ilikuwa 2013 pale Rose Garden.Ulisema nikki mmekua naye, nlitegemea uwe unaujua ukweli
Huku ukubwani kila mtu yuko bize. Na pia hatukuwa na ukaribu sana. Mara ya mwisho kuonana na Nikki ilikuwa 2013 pale Rose Garden.Ulisema nikki mmekua naye, nlitegemea uwe unaujua ukweli
Sema aligundua! Kwani ni ya Leo hiyo habari?Nick amegundua mtoto sio wake baada ya kupima DNA
Ni mwanaume mpumbavu tu ndiye atashupalia mambo yasiyomhusu! Mavi usiyoyala wayawingiani kuku?Mwanaume mpumbavu pekee ndio ataingilia majukumu ya wazazi kumsomesha binti, ni mwanaume mpumbavu pekee anaweza kufanya hivyo.
Kama ndio kwemye ndoa kunakohitaji uaminifu wa juu kushinda vyote ameshindwa basi hata haya matokeo yake ni yamepatikana kwa ngono zembe na wahadhiriBali huyu binti aliibuka mwanafunzi Bora wa uhasibu ngazi ya degree na Kwa Sasa ni CPA (certified Public Accountant) .
Ujue Sisi ustawi wa jamii hatupendi watoto wakose malezi ya wazazi hivyo ujue kabisa ukijileta kupima DNA mtoto atakuwa wako tu!Hizi story za majibu yanapikwa ni story za kusadikika sasa
Zamani kulikuwa na hizo fununu but not true at all
Ukiwa na pesa na access you get wright answer tena haraka sana.
Tena kwa level yake ya ukuu wa wilaya ni rahis sana
CPA ya chupi hiyo mkuu!Kama ndio kwemye ndoa kunakohitaji uaminifu wa juu kushinda vyote ameshindwa basi hata haya matokeo yake ni yamepatikana kwa ngono zembe na wahadhiri
Hii ni sawa na kusema makende na ubongo ni kitu kimoja, but what do you expect from makende ya CCM kama weweKama ndio kwemye ndoa kunakohitaji uaminifu wa juu kushinda vyote ameshindwa basi hata haya matokeo yake ni yamepatikana kwa ngono zembe na wahadhiri
Hakuna chupi kwenye CPA, acha ujingaCPA ya chupi hiyo mkuu!
Haya bwabwa naona leo unaukeshea mkunyengeHii ni sawa na kusema makende na ubongo ni kitu kimoja, but what do you expect from makende ya CCM kama wewe
Wewe uliipataje dada hebu tusanueHakuna chupi kwenye CPA, acha ujinga
Kwamba wanahisi mama hakumzaa mtotoMlolongo sio mrefu.
Laki tatu yako tu.
Lazima mpimwe wote, baba mama na mtoto.
Kumbaff. Sasa hapa DNA inaingiaje? Mambo ya Ngoswe muachia Ngoswe mwenyewe.View attachment 3568519
Siyo tu Nikki wa pili alimsomesha huyu binti, Bali huyu binti aliibuka mwanafunzi Bora wa uhasibu ngazi ya degree na Kwa Sasa ni CPA (certified Public Accountant) .
Huyu si mwingine ni Nickson Simon Mkuu wa wilaya wa kibaha, alimpenda Sana huyu binti mpaka akafikia hatua ya kuingilia majukumu ya wazazi akaamua kumsomesha yeye mwenyewe Kwa pesa anazo zipata kupitia mziki.
Lakini unaambiwa wamekuja kuachana baada ya Nikki wa pili kuwa mkuu wa wilaya, pata picha unakuja kuachwa kipindi ambacho kwenye maisha ndo umepanda zaidi juu.
Walizaa mtoto mmoja wakamwita jina la ZURI, Nikki wa pili alimwimbia hadi wimbo mke wake akaupa jina la zuri ambalo ndo likaja kuwa jina la mtoto wao.
Anaweza badilishiwa wakati wa kujifungua.Kwamba wanahisi mama hakumzaa mtoto
Kumbe kwa mkemia mkuu kuna afisa ustawi wa jamii?😀Hujamaliza simulizi, DNA wamepima wapi? Maana kwa mkemia mkuu mlolongo ni mrefu na majibu huwa yanakuwa yanapikwa(fabricated)na watu wa ustawi (kwa nilivyosikia).
CPA ya chupi haipo mkuu, labda hizo degreeCPA ya chupi hiyo mkuu!
Sema nani anashupalia, hii ni mada ipo mezani and we all share our views. Don't panic man!!Ni mwanaume mpumbavu tu ndiye atashupalia mambo yasiyomhusu! Mavi usiyoyala wayawingiani kuku?
Kushtuka muhimu sema haya mambo yalikuwepo kabla hatujatembea kwenye hii Dunia, yapo leo hii na kwa kuwa maisha yapo basi amin amin nakuambia haya mambo hayana budi kuwepo.Wanaume shtukeni lol
Aisee kazi sanaKushtuka muhimu sema haya mambo yalikuwepo kabla hatujatembea kwenye hii Dunia, yapo leo hii na kwa kuwa maisha yapo basi amin amin nakuambia haya mambo hayana budi kuwepo.
Yasipo tokea kwangu yatatokea kwa ndugu, jamaa, rafiki au jirani. Ni kama utapeli wa hela vile kila siku watu wanalizwa, unajiuliza hawajifunzi?? Lakini ndo vile.