DC Kibaha aachana na mkewe, kisa Matokeo ya DNA

DC Kibaha aachana na mkewe, kisa Matokeo ya DNA

Nilishapenda na nilisha experience maumivu ya kusalitiwa,, sehemu ni nyingi za ku-invest pesa yako na ikakuletea faida maradufu kuliko presha na maumivu ya kujitakia kama hayo.
Yeah wote tunapenda iwe hivyo ila uhalisia ni game nyingine, wewe akili imerudi baada ya kusalitiwa
 
Yeah wote tunapenda iwe hivyo ila uhalisia ni game nyingine, wewe akili imerudi baada ya kusalitiwa
Hivi kwa akili ya kawaida tu, nikki kwa age aliyo nayo, hayo yanaweza kuwa mahusiano yake ya awali? hajawahi kusalitiwa huko nyuma? if yes amewahi, je hakujifunza?

Kuna wanaume maumivu ya mapenzi huwa wanayatafuta kwa nguvu sana.
 
Kwa nini unasema jamaa alikuwa mshamba wa mapenzi?

Suala la kuchapiwa halina ujanja wala uboya. Halafu mwanamke akicheat haimaanishi wewe mwanaume ni dhaifu, ni tatizo la mwanamke mwenyewe kitabia, kimaadili au kiakili.

Hakuna ujanja wa kushindana shindana na mtu mzima mwenye akili zake timamu akiamua kugongwa nje. Huwa nashangaa sana mwanaume akimcheka mtu aliyechapiwa as if yeye anaweza kuzuia mkewe asigongwe. Kikubwa ukichapiwa be strong and move on hujazaliwa naye huyo!

Kuna manzi mmoja aliachika kisa kucheat, nilikuwa navigation naye story akanambia alicheat na mtu aliyekuwa anapiga show mbovu ukilinganisha na mmewe lakini alikuwa anaridhika kwa huyo jamaa kuliko mmewe. Wanawake hawaeleweki usiweke akili yote kwao.
Hapa hatupo kwenye ishu ya kuchapiwa hiyo ni case nyingine...

Ishu ni kule kumpost post kwenye mitandao na vijembe, kama raia walivyoorodhesha, maneno kibao,
sasa ule wahuni tunaona ushamba wa mapenzi.
Na ndio sababu ya wana wengi kumcheka.
 
Kwa nini unasema jamaa alikuwa mshamba wa mapenzi?

Suala la kuchapiwa halina ujanja wala uboya. Halafu mwanamke akicheat haimaanishi wewe mwanaume ni dhaifu, ni tatizo la mwanamke mwenyewe kitabia, kimaadili au liability.

Hakuna ujanja wa kushindana shindana na mtu mzima mwenye akili zake timamu akiamua kugongwa nje. Huwa nashangaa sana mwanaume akimcheka mtu aliyechapiwa as if yeye anaweza kuzuia mkewe asigongwe kikubwa tu ukichapiwa be strong and move on hujazaliwa naye huyo.

Hapa hatupo kwenye ishu ya kuchapiwa hiyo ni case nyingine...

Ishu ni kule kumpost post kwenye mitandao na vijembe, kama raia walivyoorodhesha, maneno kibao,
sasa ule wahuni tunaona ushamba wa mapenzi.
Na ndio sababu ya wana wengi kumcheka.
Hapo nimekusoma mkuu.

Nakumbuka jamaa aliwahi kupost Instagram wayback ile story ililetwa hadi humu.

Alidai yale maandiko ya Adam na Hawa ni hadithi ya kimfumo dume inayoonyesha mwanamke ni dhaifu. Wakati kiuhalisia sio dhaifu.

Alitema shombo sana akamalizia kwa kusema hatakubali mwanaye Zuri awe chini ya mwanaume.

I hope sasa atakuwa amepata somo wale viumbe ni dhaifu.
 
Huko ndiko alikoboronga,
 
Ingekua ni mimi....
Mke anaondoka, mtoto anabaki then huyo anae jiita baba wa mtoto alietoka ndani ya ndoa yangu tutapambana mahakamani mazeee
kuna watu wanatamba kuwa wana watoto kwenye ndoa za watu na baba mwenye himaya hajui kuwa analea mtoto wa mtu mwingine akidhani ni wake
 
Back
Top Bottom