Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,702
- 19,610
laki tatu? Ni takribani 690,00Mlolongo sio mrefu.
Laki tatu yako tu.
Lazima mpimwe wote, baba mama na mtoto.
Hivi,acha kudanganya watu.
laki tatu? Ni takribani 690,00Mlolongo sio mrefu.
Laki tatu yako tu.
Lazima mpimwe wote, baba mama na mtoto.
Content creator haoMbona hii issue ni ya miaka hiyooo
Lakini mlivyokomalia ni kana kwamba yametokea juzi.Aisee,walimwengu
Jamaa alishapona watu wameamua kumkumbushia machunguNami nimeshangaa kama wewe
Kumbe...Nick amegundua mtoto sio wake baada ya kupima DNA
Nilishapenda na nilisha experience maumivu ya kusalitiwa,, sehemu ni nyingi za ku-invest pesa yako na ikakuletea faida maradufu kuliko presha na maumivu ya kujitakia kama hayo.Hujawahi kupenda 😁
Wanasema eti majibu ya DNA ndo yametoka sasa hiviipo namna
Naona wamegombana huko chamani,wameamua wamfufulie makaburi.Si unajua naye hapoi yule ukijichanganyaJamaa alishapona watu wameamua kumkumbushia machungu
Umenikumbusha Davie alivyogongewa mkewe na Kassimu mpaka akasusa ukuu wa Simiyu🙂 🙂 anajua alichokifanya.
Mimi ni mwanao we amini tu hivyo! Huoni tunafanana rangi na masikio?
KabisaNi maisha yao acha tupambane na yetu pia..
Daaa umetisha aiseee haahaaaNi mara 100000x pesa yangu niwekeze UTT huko siyo kumsomesha mtu mzima ambaye tumekutana tu ukubwani kila mtu akiwa na vuzi zake.
Inasemekana mkemia ndo ametoa majibuMbona hii issue ni ya miaka hiyooo
Lakini mlivyokomalia ni kana kwamba yametokea juzi.Aisee,walimwengu
Ametupa funzo kubwa sana , jamaa alijihakikishia kwamba yeye ndiyo the one and only na hivyo kuturingishia instagram na mkewe yaani alijiona kama Clyde na Mama Zuri Bonnie.Yeah,wagumu sana wale watu.Kameza moto.Lakini inafunza kitu…usimpe asilimia mia binadamu mwenzio.Mbaya sana
Lakini huyo Jamaa ni mtu ana jina..Labda mlolongo na majibu ya uongo yanakua kwa kina Kajambanani.Hujamaliza simulizi, DNA wamepima wapi? Maana kwa mkemia mkuu mlolongo ni mrefu na majibu huwa yanakuwa yanapikwa(fabricated)na watu wa ustawi (kwa nilivyosikia).
Anha,kumbe ndivyo ilivyo?!Inasemekana mkemia ndo ametoa majibu
Mbona komwe langu huna?Mimi ni mwanao we amini tu hivyo! Huoni tunafanana rangi na masikio?
Sahihi ukiona wapenzi wanavaa saresare au wanaenda photo studio ujue penzi linaendeshwa na mwanamkeNa ukiona mwanaume anavaa nguo za rangi sare na mkewe, wewe jua tu ni simp huyo
View attachment 3568531