DC Kibaha aachana na mkewe, kisa Matokeo ya DNA

DC Kibaha aachana na mkewe, kisa Matokeo ya DNA

ACHANA NA HIZI AKILI, MKUU, WANAWAKE HUJAWAJUA TU, MKE MWEMA NI MWEMA TU NA MKE MUOVU MI MUOVU TU, UTAUA WANGAPI SASA, UKIIFUNGWA, UNAMUACHA MTAANI ANASIMAMIA JASHO LAKO, NA KIBOY CHAKE KINGINE WANAKULA RAHA WE UKO UKONGA, UNAPIGIWA HESABU NA MANYAPARA, YA NINI YOTE HAYO?
Kwa hio unataka kusemaje? Sanja boy alivyompunzisha katibu kuna nini kimetokea zaidi zaidi anaendelea kumkamua mkewe na wajinga wajinga wengine wamekula funzo kwamba pale ukila utafanyiwa umafioso wa ajabu ambao hata polisi hawawezi gundua
 
Ua basi na wewe, kama ni simpo, au we ni mzee kiumri, kijana waki Sasa huwezi kua na akili za kuua mtu kisa mbunye, ushamba kaka
 
Ua basi na wewe, kama ni simpo, au we ni mzee kiumri, kijana waki Sasa huwezi kua na akili za kuua mtu kisa mbunye, ushamba kaka

Utembee na Mke wa mtu ukiwa unamjua kabisa, Halafu utegemee uachwe tu ukisimulia tako la mke wa fulani ni laini sana sio?

Mm nasema, Siku nikioa, Akaja boya akaleta nyege zake kwenye nyumba yamgu akijua kabisa ni mke wa mtu, Huyo sitamuachia Mungu.
 
Inabidi mfike hatua muwaache watu waishi maisha yao, Masanja katibu alikua anagonga mkewe issue ilipogundulika njia pekee ya kuokoa ilikua ni kumpoteza katibu kwa namna ya kuonyesha kwamba amejiua, hivi Nikki alishindwa kufanya huo umafia kwa huyo kiumbe aliesema kua amelala na mkewe na amemzalisha au Nikki ni very weak person ndio maana mnamfanyia hizi bullying si ndio?

Nikki Yule hakua mke wake bhana, Tuache utani na watoto wa watu.
 
SIO TU USHAMBA NI UJINGA KABISA, BADO UNAISHI KIZAMANI SANA KAKA, YANI UUWE MWANAUME MWENZIO KISA AMEKUCHAPIA, JE KAMA MKEO NDO ALITAKA TAMU, JAMAA AFANYAJE? HUO NI USHAMBA HUWEZI UA KISA MBUNYE SI UNAPIGA CHIN, UNAVUTA MWINGINE, ASEEE HIZI AKILI ZAKO BRO SIO USIFANYE HIVO MAMBO YA KIZAMANI MADEMU ZETU WANAWASHOBOKEA WANA, NA WANA WANA HAKI YA KUICHAPA MANA NI UPUMBAVU WA MWANAMKE MWENYEWE.

Ujinga wa kwanza ni Mwanaume kuweka nyege zako, Kwa Mke wa watu, Hapa shida sio Mbunye shida ni Familia ndo inakua imefika mwisho.

Yaani Familia ya miaka 10, Watoto wa3 Inavunjika kwasababu ya Nyege zako na uachwe tu unasimulia vijiweni jinsi ulivo kua unamkunja mke wa watu 😁

Labda sio mm, Tugongeane mademu ila sio wake Tulio waweka ndani, Matrako yenu.
 
ni wako mkuu?
Kwani Nikki anapeleka moto? Maana miaka yote hii alikuwa analea mtoto mmoja wa mwenzie!! Basi kama ana moto wangekuwa na watoto 3, wawili wa kwake na mmoja wa huyo jamaa
 
Kwenye mahusiano kama halijakupata huwezi elewa tena utaona wanaume wenye changamoto katika mahusiano yao ni wajinga wasio na msimamo wala maamuzi ya kiume!!

One day litakufika kwa namna moja au nyingine likulize vibaya sana ndo utaiva ukae kiaskari sasa😁
Kama halijakufika jua hujaiva, siku yako ya kulia vibaya ipo njiani swala la muda tu mbona😂😂
Nakuhurumia maana utalia kwa uchungu sana!
Acha kukitete kwa Dua hewan. Wewe kama umeoa mwanamke siyo bikira Iko wazi umeoa mke wa mtu acha kutafuta kipengele
 
Utembee na Mke wa mtu ukiwa unamjua kabisa, Halafu utegemee uachwe tu ukisimulia tako la mke wa fulani ni laini sana sio?

Mm nasema, Siku nikioa, Akaja boya akaleta nyege zake kwenye nyumba yamgu akijua kabisa ni mke wa mtu, Huyo sitamuachia Mungu.
Kaka wake zenu wakienda sokoni wanawakana kuwa hawajaolewa, wahini wafanyaje sasa
 
Back
Top Bottom