DC Kibaha aachana na mkewe, kisa Matokeo ya DNA

DC Kibaha aachana na mkewe, kisa Matokeo ya DNA

Hujamaliza simulizi, DNA wamepima wapi? Maana kwa mkemia mkuu mlolongo ni mrefu na majibu huwa yanakuwa yanapikwa(fabricated)na watu wa ustawi (kwa nilivyosikia).
Hizi story za majibu yanapikwa ni story za kusadikika sasa
Zamani kulikuwa na hizo fununu but not true at all
Ukiwa na pesa na access you get wright answer tena haraka sana.
Tena kwa level yake ya ukuu wa wilaya ni rahis sana
 
Hizi story za majibu yanapikwa ni story za kusadikika sasa
Zamani kulikuwa na hizo fununu but not true at all
Ukiwa na pesa na access you get wright answer tena haraka sana.
Tena kwa level yake ya ukuu wa wilaya ni rahis sana
Wright?? Wewe detective nenda kwa Ras Simba haraka sana.
 
Sijajua kwanini imeibuka hivi karibuni wakati ina zaidi ya miaka miwili humu kwamba Nikki aka KantreWAIDI aka WUDILENDI kamwagwa na mkewe baada ya Mzee wa Tashwishwi alfu mia KENDA kumpitia kama UPEPo na Kumpiga MITI.
Nani huyo mkuu?code ngumu....KaBody au?
 
Ndugu mleta uzi, wewe una uhakika mtu unayemuita baba ni baba yako wa kibaiolojia kweli?
 
MahaKamani watadai DNA results tu na sio bla bla, Ukivuliwa nguo cha kwamza ni kuchutama tu, Mengine yatafata baadae.

By the way, Huyo Hakua Mke wa Nick, Alikua ni Mchumba wake tu, Kwahyo jamaa awe tu mpole.
DNA si kigezo pekee, kesi za umiliki wa mtoto huwa ni ngumu esp kama kuna mazingira ya baba mlezi kutoa huduma kwa mtoto kwa muda mrefu huku baba mzazi akijua na akanyamaza.
 
Huyu alikuwa mshamba wa MAPENZI, sema sio suala tayari kajifunza kitu.
Kwa nini unasema jamaa alikuwa mshamba wa mapenzi?

Suala la kuchapiwa halina ujanja wala uboya. Halafu mwanamke akicheat haimaanishi wewe mwanaume ni dhaifu, ni tatizo la mwanamke mwenyewe kitabia, kimaadili au kiakili.

Hakuna ujanja wa kushindana shindana na mtu mzima mwenye akili zake timamu akiamua kugongwa nje. Huwa nashangaa sana mwanaume akimcheka mtu aliyechapiwa as if yeye anaweza kuzuia mkewe asigongwe. Kikubwa ukichapiwa be strong and move on hujazaliwa naye huyo!

Kuna manzi mmoja aliachika kisa kucheat, nilikuwa navigation naye story akanambia alicheat na mtu aliyekuwa anapiga show mbovu ukilinganisha na mmewe lakini alikuwa anaridhika kwa huyo jamaa kuliko mmewe. Wanawake hawaeleweki usiweke akili yote kwao.
 
Sasahivi ni 212,000 na bahati mbaya uwezekano wa kupatiwa majibu ya kweli ni asilimia 3%.

Utajikuta tu unamsaidia mkemia kupata sample za kuja kutangaza baadae 55% ya wanaume wanalea watoto wasio wao 😁.
Last time i checked ilikuwa laki 1, kwa kichwa
 
Back
Top Bottom