DC Kibaha aachana na mkewe, kisa Matokeo ya DNA

View attachment 3568519

Siyo tu Nikki wa pili alimsomesha huyu binti, Bali huyu binti aliibuka mwanafunzi Bora wa uhasibu ngazi ya degree na Kwa Sasa ni CPA (certified Public Accountant) .

Huyu si mwingine ni Nickson Simon Mkuu wa wilaya wa kibaha, alimpenda Sana huyu binti mpaka akafikia hatua ya kuingilia majukumu ya wazazi akaamua kumsomesha yeye mwenyewe Kwa pesa anazo zipata kupitia mziki.

Lakini unaambiwa wamekuja kuachana baada ya Nikki wa pili kuwa mkuu wa wilaya, pata picha unakuja kuachwa kipindi ambacho kwenye maisha ndo umepanda zaidi juu.

Walizaa mtoto mmoja wakamwita jina la ZURI, Nikki wa pili alimwimbia hadi wimbo mke wake akaupa jina la zuri ambalo ndo likaja kuwa jina la mtoto wao.
Putin aliachana na mkewe pia
 
Kwenye mahusiano kama halijakupata huwezi elewa tena utaona wanaume wenye changamoto katika mahusiano yao ni wajinga wasio na msimamo wala maamuzi ya kiume!!

One day litakufika kwa namna moja au nyingine likulize vibaya sana ndo utaiva ukae kiaskari sasa😁
Kama halijakufika jua hujaiva, siku yako ya kulia vibaya ipo njiani swala la muda tu mbona😂😂
Nakuhurumia maana utalia kwa uchungu sana!
Wengi wao ni wale wanaojifanyaga Kupenda wanawake sijui kuwatoa out.

Lakini wasiojali wanazeeka na wake zao
 
Walizaa mtoto mmoja wakamwita jina la ZURI, Nikki wa pili alimwimbia hadi wimbo mke wake akaupa jina la zuri ambalo ndo likaja kuwa jina la mtoto wao.
Wajomba na Mashangazi kwani hili si lilishapita au ndio kusema hizi ni Throwback everyday?

Jamaa yalishamkuta ikawa hivyo na hata Stamina yalimkuta pia haya haya ila Stamina aliwahi kuchomoa mapema sana mchezo yasije yakawa mengi sana, mboni hivi lakini yaweza ikawa mwamba ana mtu mwingine na ameshaamua kumove on ndio maana anaendelea kuishi maisha yake sasa hiki ni nini?
 
Arudishe gharama, asilete ujanja ujanja, ila man nikama yupo poa mana hajasubiri mtoto akue sana
Inabidi mfike hatua muwaache watu waishi maisha yao, Masanja katibu alikua anagonga mkewe issue ilipogundulika njia pekee ya kuokoa ilikua ni kumpoteza katibu kwa namna ya kuonyesha kwamba amejiua, hivi Nikki alishindwa kufanya huo umafia kwa huyo kiumbe aliesema kua amelala na mkewe na amemzalisha au Nikki ni very weak person ndio maana mnamfanyia hizi bullying si ndio?
 
Na Masanja ipo mbioni kuibuliwa. Jamaa amekoma hathubutu tena kumpostiposti mke wakw. Kashika adabu.
Kihelehele kimemuisha ,haitakiwi umuamini binadamu ,muda wowote anabadilika! Masikini hana kiapo.

Kuchapiwa kunauma sana sema ndiyo hivyo jamaa anaugulia maumivu ili asiendelee kuchekwa akiachana naye.

Mambo ya ndoa yana siri nyingi sana na hao wanaojifanya wacha mungu(miungu) ni hatari ,shosti yake mke wa masanja lilian mwasha naona na yeye yupo USA anapambana.
 
View attachment 3568519

Siyo tu Nikki wa pili alimsomesha huyu binti, Bali huyu binti aliibuka mwanafunzi Bora wa uhasibu ngazi ya degree na Kwa Sasa ni CPA (certified Public Accountant) .

Huyu si mwingine ni Nickson Simon Mkuu wa wilaya wa kibaha, alimpenda Sana huyu binti mpaka akafikia hatua ya kuingilia majukumu ya wazazi akaamua kumsomesha yeye mwenyewe Kwa pesa anazo zipata kupitia mziki.

Lakini unaambiwa wamekuja kuachana baada ya Nikki wa pili kuwa mkuu wa wilaya, pata picha unakuja kuachwa kipindi ambacho kwenye maisha ndo umepanda zaidi juu.

Walizaa mtoto mmoja wakamwita jina la ZURI, Nikki wa pili alimwimbia hadi wimbo mke wake akaupa jina la zuri ambalo ndo likaja kuwa jina la mtoto wao.
Ila wadada wa Sikuhizi, kama hakupendi Wala hakwambii ila utapigwa tukio hilo...Dunia yote itashangaa
 
Inabidi mfike hatua muwaache watu waishi maisha yao, Masanja katibu alikua anagonga mkewe issue ilipogundulika njia pekee ya kuokoa ilikua ni kumpoteza katibu kwa namna ya kuonyesha kwamba amejiua, hivi Nikki alishindwa kufanya huo umafia kwa huyo kiumbe aliesema kua amelala na mkewe na amemzalisha au Nikki ni very weak person ndio maana mnamfanyia hizi bullying si ndio?
SIO TU USHAMBA NI UJINGA KABISA, BADO UNAISHI KIZAMANI SANA KAKA, YANI UUWE MWANAUME MWENZIO KISA AMEKUCHAPIA, JE KAMA MKEO NDO ALITAKA TAMU, JAMAA AFANYAJE? HUO NI USHAMBA HUWEZI UA KISA MBUNYE SI UNAPIGA CHIN, UNAVUTA MWINGINE, ASEEE HIZI AKILI ZAKO BRO SIO USIFANYE HIVO MAMBO YA KIZAMANI MADEMU ZETU WANAWASHOBOKEA WANA, NA WANA WANA HAKI YA KUICHAPA MANA NI UPUMBAVU WA MWANAMKE MWENYEWE.
 
Wengi wao ni wale wanaojifanyaga Kupenda wanawake sijui kuwatoa out.

Lakini wasiojali wanazeeka na wake zao
Majangili hukaa na ndoa maana wanakuwa wametimiza utaratibu wa Kidunia jinsi ya Kukaa na Wamama.

Mfano upo hai tu...Suleiman alikuwa na mawe tena mawe hasa...na akawa na kijiji cha kuchakata vipochi.

Wewe jitie gentleman...mwanaume ni Beast
 
SIO TU USHAMBA NI UJINGA KABISA, BADO UNAISHI KIZAMANI SANA KAKA, YANI UUWE MWANAUME MWENZIO KISA AMEKUCHAPIA, JE KAMA MKEO NDO ALITAKA TAMU, JAMAA AFANYAJE? HUO NI USHAMBA HUWEZI UA KISA MBUNYE SI UNAPIGA CHIN, UNAVUTA MWINGINE, ASEEE HIZI AKILI ZAKO BRO SIO USIFANYE HIVO MAMBO YA KIZAMANI MADEMU ZETU WANAWASHOBOKEA WANA, NA WANA WANA HAKI YA KUICHAPA MANA NI UPUMBAVU WA MWANAMKE MWENYEWE.
Unaingilia mahusiano ya watu utauliwa na kuwaacha maana ukifa wewe litakua funzo kwa wengine wanaoelewa kua pale ukigusa na wewe unaenda chini jamaa atakuua
 
ACHANA NA HIZI AKILI, MKUU, WANAWAKE HUJAWAJUA TU, MKE MWEMA NI MWEMA TU NA MKE MUOVU MI MUOVU TU, UTAUA WANGAPI SASA, UKIIFUNGWA, UNAMUACHA MTAANI ANASIMAMIA JASHO LAKO, NA KIBOY CHAKE KINGINE WANAKULA RAHA WE UKO UKONGA, UNAPIGIWA HESABU NA MANYAPARA, YA NINI YOTE HAYO?
 
Back
Top Bottom