DC Kibaha aachana na mkewe, kisa Matokeo ya DNA

DC Kibaha aachana na mkewe, kisa Matokeo ya DNA

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
9,576
Reaction score
14,312
Screenshot_20260406_201807_Gallery.jpg


Siyo tu Nikki wa pili alimsomesha huyu binti, Bali huyu binti aliibuka mwanafunzi Bora wa uhasibu ngazi ya degree na Kwa Sasa ni CPA (certified Public Accountant) .

Huyu si mwingine ni Nickson Simon Mkuu wa wilaya wa kibaha, alimpenda Sana huyu binti mpaka akafikia hatua ya kuingilia majukumu ya wazazi akaamua kumsomesha yeye mwenyewe Kwa pesa anazo zipata kupitia mziki.

Lakini unaambiwa wamekuja kuachana baada ya Nikki wa pili kuwa mkuu wa wilaya, pata picha unakuja kuachwa kipindi ambacho kwenye maisha ndo umepanda zaidi juu.

Walizaa mtoto mmoja wakamwita jina la ZURI, Nikki wa pili alimwimbia hadi wimbo mke wake akaupa jina la zuri ambalo ndo likaja kuwa jina la mtoto wao.
 
Kwenye mahusiano kama halijakupata huwezi elewa tena utaona wanaume wenye changamoto katika mahusiano yao ni wajinga wasio na msimamo wala maamuzi ya kiume!!

One day litakufika kwa namna moja au nyingine likulize vibaya sana ndo utaiva ukae kiaskari sasa😁
Kama halijakufika jua hujaiva, siku yako ya kulia vibaya ipo njiani swala la muda tu mbona😂😂
Nakuhurumia maana utalia kwa uchungu sana!
 
Ingekua ni mimi....
Mke anaondoka, mtoto anabaki then huyo anae jiita baba wa mtoto alietoka ndani ya ndoa yangu tutapambana mahakamani mazeee

MahaKamani watadai DNA results tu na sio bla bla, Ukivuliwa nguo cha kwamza ni kuchutama tu, Mengine yatafata baadae.

By the way, Huyo Hakua Mke wa Nick, Alikua ni Mchumba wake tu, Kwahyo jamaa awe tu mpole.
 
Back
Top Bottom