King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,214
- 96,062
Ndio maana ilipoibuka suala la DNA bungeni mzee alishusha nondo sana kwamba kitanda hakizai haramu
🙂 🙂 anajua alichokifanya.
Ndio maana ilipoibuka suala la DNA bungeni mzee alishusha nondo sana kwamba kitanda hakizai haramu
Rais kwa mwenzio, jambo jepesi sana la dk 0 😂😂Hajazaliwa na huyo mwanamke na yeye sio wa kwanza kuachana na mwanamke katika hii dunia,piga chini endelea na maisha mengine
Ipo imeibuliwa jana mkuu,zimeibuliwa threads mbili kama sikoseiMbona kama ni ya zamani hukuiweka humu tukaisoma?
Hujawahi kupenda 😁Ni mara 100000x pesa yangu niwekeze UTT huko siyo kumsomesha mtu mzima ambaye tumekutana tu ukubwani kila mtu akiwa na vuzi zake.
Hatari sana ,hapo ndipo namkumbuka Lipumba na MUAFAKA/MWAFAKA ,tunahitaji kuyaponya haya majeraha na 4Rs za ukweli tumefikia hatua ya kufurahia majanga ,inasikitisha sana.Yaan ukishakuwa fisiemu kimekuramba,bado kuna hasira kwa wanajamii.Kidonda kisichopona,tutaumizana sana
tupe uzoefu yaliyokukutaYasikie kwa jilani omba yasikukute
ipo namnaHii issue ya miaka mingi iliyopitq imekuaje inatrend mwaka huu?
Hii issue ya miaka mingi iliyopitq imekuaje inatrend mwaka huu?
Nick amegundua mtoto sio wake baada ya kupima DNAHii issue ya miaka mingi iliyopitq imekuaje inatrend mwaka huu?
Yeah,wagumu sana wale watu.Kameza moto.Lakini inafunza kitu…usimpe asilimia mia binadamu mwenzio.Mbaya sanaHatari sana ,hapo ndipo namkumbuka Lipumba na MUAFAKA/MWAFAKA ,tunahitaji kuyaponya haya majeraha na 4Rs za ukweli tumefikia hatua ya kufurahia majanga ,inasikitisha sana.
Maumivu aliyoyapata Nikki ingekuwa mtu wa IRINGA ilikuwa tayari kashajitundika sema ni Chalii ya Chuga.
Nami nimeshangaa kama weweHii issue ya miaka mingi iliyopitq imekuaje inatrend mwaka huu?
ni wako mkuu?Vyovyote, ila mtoto siyo wa Nikki wa2
Mie siwezi kumuachia mtoto kirahisi namna hiyo, ila huyo mke lazima aondokeMwanangu mimi sioni shida kuwa Social father! Yaani nimewazoea watoto wangu kinoma.