DC Kibaha aachana na mkewe, kisa Matokeo ya DNA

DC Kibaha aachana na mkewe, kisa Matokeo ya DNA

Kwenye mahusiano kama halijakupata huwezi elewa tena utaona wanaume wenye changamoto katika mahusiano yao ni wajinga wasio na msimamo wala maamuzi ya kiume!!

One day litakufika kwa namna moja au nyingine likulize vibaya sana ndo utaiva ukae kiaskari sasa😁
Kama halijakufika jua hujaiva, siku yako ya kulia vibaya ipo njiani swala la muda tu mbona😂😂
Nakuhurumia maana utalia kwa uchungu sana!
Ukiwa unatumia husia kwenye maamuzi yako lazima kikurambe tu.

Na wala sio lazima kila mtu alizwe mzee, kulizwa ni maamuzi.
 
Mbona hii issue ni ya miaka hiyooo
Lakini mlivyokomalia ni kana kwamba yametokea juzi.Aisee,walimwengu
yah wageni wa mambo hao hii issue ya miaka 2 au 1 nyuma nashangaa this month ndo inatrend
 
Angalia na wewe watoto wako kama wanafanana na wewe

Hata wewe kwa post yako umeipa kick bila kujijua
Kwa hiyo watoto lazima Wafanane na wewe? Wakifanana na mama yao wewe una ukoo naye?
 
Back
Top Bottom