DC Kibaha aachana na mkewe, kisa Matokeo ya DNA

DC Kibaha aachana na mkewe, kisa Matokeo ya DNA

Mbona hii issue ni ya miaka hiyooo
Lakini mlivyokomalia ni kana kwamba yametokea juzi.Aisee,walimwengu
Sijajua kwanini imeibuka hivi karibuni wakati ina zaidi ya miaka miwili humu kwamba Nikki aka KantreWAIDI aka WUDILENDI kamwagwa na mkewe baada ya Mzee wa Tashwishwi alfu mia KENDA kumpitia kama UPEPo na Kumpiga MITI.
 
Ndio maana ilipoibuka suala la DNA bungeni mzee alishusha nondo sana kwamba kitanda hakizai haramu
 
Ingekua ni mimi....
Mke anaondoka, mtoto anabaki then huyo anae jiita baba wa mtoto alietoka ndani ya ndoa yangu tutapambana mahakamani mazeee
IMG_20260406_204355.jpg
 
Sema hawa waliachana siku nyingi. Hata suala la kumsomesha linajulikana, lakini hili la kubambikiwa mtoto ndio jipya.

Hili penzi lilikua na mbwembwe sana. Nafikiri ndio penzi ambalo lilikaribiana na lile la masanja mkandamizaji kwa mbwembwe za mitandaoni.

Kila siku nawaambia vijana. Mwanamke hakai sehemu ambayo anapendwa zaidi. Women don't stay where they are loved the most. If your are not mentally sharp, emotionally controlled and strategically aware, a woman will use you as astep ladder, climp you to upgrade her lifestyle, then dump you the moment a man with more power and resources shows up
 
Back
Top Bottom