DC Kibaha aachana na mkewe, kisa Matokeo ya DNA

DC Kibaha aachana na mkewe, kisa Matokeo ya DNA

Sasa si bora huyo Nikki yeye kapima na amepata uhakika,kua sio mtoto wake (Kama hii issue ni kweli)

Ni wangapi wanaishi na watoto ambao sio wao kwenye ndoa zao? Yani mtu hajawapima watoto wake ili apate uhakika halafu mtu huyo huyo nae anamcheka na kumbeza Nikki!! Haya ni maajabu.
😂😂😂🤣itakuwa wameyazoea matatizo yao mkuu….hakuna namna.Binadamu tuna mapungufu lakini katu hatuachi kushabikia matatizo ya wengine.Ni nature
 
Zaeni Hakuna Tabu Yoyote Mtoto Ni Baraka Pia Nguvu Kazi
Kuchapiwa Ni Siri Ya Ndani, Tuache Nongwa Sasa Watu
Wafurahie Maisha Yao
 
Mbona hii ni kawaida mkuu
Kawaida kwa wanaume dhaifu

Huko kwenu Unyakyusani ndio huwa mna mila na desturi za wanaume kuwapigia wanawake goti?

Kichwa cha familia unapiga goti kwa mwanamke uliyemposa, kumtolea mahari na unaenda kumtunza kwako

Wanawake wanaojielewa huwa wanawakataza wachumba zao kuwapigia goti ila wao ndio huwapigia goti waume zao watarajiwa
 
View attachment 3568519

Siyo tu Nikki wa pili alimsomesha huyu binti, Bali huyu binti aliibuka mwanafunzi Bora wa uhasibu ngazi ya degree na Kwa Sasa ni CPA (certified Public Accountant) .

Huyu si mwingine ni Nickson Simon Mkuu wa wilaya wa kibaha, alimpenda Sana huyu binti mpaka akafikia hatua ya kuingilia majukumu ya wazazi akaamua kumsomesha yeye mwenyewe Kwa pesa anazo zipata kupitia mziki.

Lakini unaambiwa wamekuja kuachana baada ya Nikki wa pili kuwa mkuu wa wilaya, pata picha unakuja kuachwa kipindi ambacho kwenye maisha ndo umepanda zaidi juu.

Walizaa mtoto mmoja wakamwita jina la ZURI, Nikki wa pili alimwimbia hadi wimbo mke wake akaupa jina la zuri ambalo ndo likaja kuwa jina la mtoto wao.
Mbona mwanamke mwenyewe wa kawaida sana, sema umalaya tuu na tamaa zimemkolea, mtaani Kuna pisi Kali nyingi Tena Zina matako orijino zaidi ya huyo Dem wa nickk.

Afu Hawa wanawake wa mitandaoni na wanaoanikwa na kujianika mitandaoni mbona huwa wa kawaida sana, mtu kama kajala, wolper, uwoya, jockate na wengineo wengi mbona kawaida sana aiseeee, wanazidiwa hata na wanawake wa kitaa.

Tatizo wakishapata kaumaarufu kidogo ndo wanajikuta warembo kwenye hamna ila kiukweli wamezidiwa mbali sana na Hawa wa kitaa kuanzia sura hadi matako na shep
 
Kawaida kwa wanaume dhaifu

Huko kwenu Unyakyusani ndio huwa mna mila na desturi za wanaume kuwapigia wanawake goti?

Kichwa cha familia unapiga goti kwa mwanamke uliyemposa, kumtolea mahari na unaenda kumtunza kwako

Wanawake wanaojielewa huwa wanawakataza wachumba zao kuwapigia goti ila wao ndio huwapigia goti waume zao watarajiwa
Mbona wanaume china wanawainamishia vichwa wanawake?
 
Kawaida kwa wanaume dhaifu

Huko kwenu Unyakyusani ndio huwa mna mila na desturi za wanaume kuwapigia wanawake goti?

Kichwa cha familia unapiga goti kwa mwanamke uliyemposa, kumtolea mahari na unaenda kumtunza kwako

Wanawake wanaojielewa huwa wanawakataza wachumba zao kuwapigia goti ila wao ndio huwapigia goti waume zao watarajiwa
Mara zote huwa tunapiga wote goti,ni kawaida mkuu.
 
Nasemaga na narudia nyie mnaopataga na nguvu ya kupost alafu mwanamke mwenyew sio bikira umemkuta ashakuwaga demu wa watu uko before,,kakazika HASWA kwenye mageto ya masela alafu unakuja kujaribu kuwatambia watu et "you have found lavu"😀😀utalia,,sisemi sisi hatuna mitikasi yetu ya zamani ,,lakin fikiria Mo dewji saiz akiachwa au kupigwa tukio utajuaje??nani anamjua mke wake?? tatizo mtu akipata umaarufu kidogo nae anataka kuforce na mke wake nae awe maarufu,,
Shukrani mkuu mimi sijawahi kupiga picha na mwanamke hata kwa bahati mbaya
 
Back
Top Bottom