Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,602
- 5,569
Ila ina wakimbizi wa kisiasa...!!!Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amekana taarifa inayosambaa kwamba Rais Samia kawaachia huru Wafungwa 23 wa Kisiasa. Kadai Tanzania haina mfungwa wa kisiasa na kusema Rais hawezi kuingilia mchakato wowote wa Mahakama.
Awali chombo cha habari cha Kenya kiliripoti Rais Samia kuachilia wafungwa 23 wa kisiasa nchini.
Pia, soma: Citizen TV ya Kenya imeripoti Rais Samia kawaachia wafungwa 23 wa kisiasa. Ni akina nani wafungwa wa kisiasa?
Hivi wahanga kama kina Ben Saanane waliposhikiliwa kabla ya kupotezwa walipaswa kuitwaje?