Dah! Vijana wenye vigari mjini wanatamba sana

Yaani siku hizi watembea kwa miguu na wenye baiskeli tunanyanyasika Sana na Hawa vijana wenye magari ya mkopo huku Kitaa

Yani kijana akishakopa milioni 10 akanunua gari basi anataka atambe nalo kila bar na kutembea kwa kujitanua huku akining'iniza funguo ili kila mtu amuone anamiliki gari

Wadada nao ndo wanashoboka wakiona kijana kaingia na gari bar yani wanamwona bonge la digala kutembea na Ist

Vijana wenye magari wakiingia bar wanataka kujifanya wao kina MO wanakunywa Pombe laini tu yani serengeti lite, castle lite, Henekien, Windhoek au savannah hawataki masuala ya Safari au serengeti lager wala Balimi extra lager

Ni ushamba na uboya kutamba na gari lako mtaani wakati unaishi nyumba ya kupanga chumba kimoja self na sebule.
Naunga mkono "ni ushamba"kuwa na gari wakati umepanga
 
Usifananishe Serengeti lager na Vitu vya kijinga hiyo ni The finest beer
 
-Ni ujinga kununua gari wakati hujajenga
-Gari kwa nature yake ni liability i.e unajaza mafuta,service, fine za barabarani unless uwe na vyanzo vingine vya mapato
-unakopea mshahara, ukitoa makato kinachobaki hicho hicho ule,ulipe kodi,ujaze petrol,unywee bia,uhonge
 
Yaani siku hizi watembea kwa miguu na wenye baiskeli tunanyanyasika Sana na Hawa vijana wenye magari ya mkopo huku Kitaa

Yani kijana akishakopa milioni 10 akanunua gari basi anataka atambe nalo kila bar na kutembea kwa kujitanua huku akining'iniza funguo ili kila mtu amuone anamiliki gari

Wadada nao ndo wanashoboka wakiona kijana kaingia na gari bar yani wanamwona bonge la digala kutembea na Ist

Vijana wenye magari wakiingia bar wanataka kujifanya wao kina MO wanakunywa Pombe laini tu yani serengeti lite, castle lite, Henekien, Windhoek au savannah hawataki masuala ya Safari au serengeti lager wala Balimi extra lager

Ni ushamba na uboya kutamba na gari lako mtaani wakati unaishi nyumba ya kupanga chumba kimoja self na sebule.
Mbona kama unalaumu sasa wenzako wenye magari?!

Au wewe hauna?!

Kama hauna gari, fanya urafiki na wenye magari upewe codes na wewe umiliki gari ila kama hauna basi jitafute uweze mudu.

Nje ya hapo pole sana mtu wangu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
-Ni ujinga kununua gari wakati hujajenga
-Gari kwa nature yake ni liability i.e unajaza mafuta,service, fine za barabarani unless uwe na vyanzo vingine vya mapato
-unakopea mshahara, ukitoa makato kinachobaki hicho hicho ule,ulipe kodi,ujaze petrol,unywee bia,uhonge
Wala sio ujinga gari ni chombo cha usafiri na kinafanikisha michongo mingi tofauti na pagale
 
-Ni ujinga kununua gari wakati hujajenga
-Gari kwa nature yake ni liability i.e unajaza mafuta,service, fine za barabarani unless uwe na vyanzo vingine vya mapato
-unakopea mshahara, ukitoa makato kinachobaki hicho hicho ule,ulipe kodi,ujaze petrol,unywee bia,uhonge

Hata nyumba ya kuishi ni liability! Haiingizi pesa na inahitaji ukarabati.
 
Puliiiiiiiz tafuta pesa, hizi hasira ni za kiwango cha standard Gauge. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa kama wana sifa za kukopesheka tatizo ni mini?
 
Haya kaka
lakini alishapeta na maisha. Mkamwogopa
Maskini hafilisiki.
tajiri anatanulia hapa anafilisikia kuleeee south africa. utamcheka saaaa ngapi. Na badooo tunakuja kivingine.
 
Funguo za gari zinauzwa, hata wewe unaweza nunua ukaning'iniza.
kikubwa acha watu waishi maisha yao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom